Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Leo mheshimiwa Mnyika alitaka suala la mgomo wa madaktari lijadiliwe bungeni kama suala la dharura. Kwa mujibu wa kanuni za bunge mtoa hoja alitakiwa kuungwa mkono na wabunge japo kwa kusimama tu kuipa nguvu na msukumo hoja yake lakini wabunge wa CHADEMA walikaa kimya kama hawakuwepo.
Kwa hili wamepotoka, japo wana CDM huwa hawakubari hata kama viongozi wao watafanya utumbo. Kuweni makini, nyie ndiyo tunawategemea kutuletea mabadiliko ya kweli katika nchi yetu miaka 15 ijayo.
Kwa hili wamepotoka, japo wana CDM huwa hawakubari hata kama viongozi wao watafanya utumbo. Kuweni makini, nyie ndiyo tunawategemea kutuletea mabadiliko ya kweli katika nchi yetu miaka 15 ijayo.