Wabunge wa CCM ni zecomedy

Ze comedy anayoizungumzia Jairo ni kuwa ze comedy ni vituko wavifanyavyo wasanii ili vilete taswira fulani lakini haviendani na tabia za wale wasanii, kwa hiyo Jairo anamaanisha kuwa ccm wanajaribu kufanya mambo ambayo hayaendani na jinsi walivyo wao, yaani wanajifanya kupinga ufisadi alioufanya kwa kushirikiana nae halafu kwa kupitia mlango mwingine wanajifanya kutokujua kile jamaa anachofanya cha kuwahonga wabunge ili waipitishe bajeti, sasa kama ndo hivyo kwa nini Masabuli asiseme wanatumia makalio kufikiri na wanauhakika na wanayoyasema na ndio maana EL alisema mwageni mboga mi nimwage ugali kwa sababu hiyohiyo ya ze comedy na kutumia Masabuli kufikiri
 
Na wakijidai kukomaa,mwenyekiti wao atawaeleza ktk kikao cha kamati yao kwamba nakwenda kutangaza kuvunja bunge mrudi kwa wapiga kura tuone kama mtarudi mjengoni,na mtambue mimi ndiye ntaongoza kikao cha kuchuja majina ya wagombea!! ahahahah....
 
Na wakijidai kukomaa,mwenyekiti wao atawaeleza ktk kikao cha kamati yao kwamba nakwenda kutangaza kuvunja bunge mrudi kwa wapiga kura tuone kama mtarudi mjengoni,na mtambue mimi ndiye ntaongoza kikao cha kuchuja majina ya wagombea!! ahahahah.... wakati akiwahutubia atakua amezungukwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama bila kumsahau boss mwenyewe mzee Luhanjo! kijana wake Jairo atakua pembeni akitabasamu!!!
 
hahahahahhhhahhahahaaahahahahahahahahahhahahhaha............... CCM CCM CCM CCM CCM CCm....... Ze Comedy wako juu sana wanafikiri zaidi ya hawa wabunge bwana.. hawa sijui tuwaiteje tu. Sina hata jina la kuwaita hawa watu
 
unauliza majibu........ndioooooooo
call them extra original Comedy.
Kuna tofaut ya kufurahsha na kuchekesha:
Comedian wanachekesha hawafurahsh i.e Wananchi wanacheka wakiangalia Filamu ya wabunge wa CCM bungeni, upuuz wanaofanya bungen
mf. Wassira
 
Ee Mungu Tutangulie wa Tanzania katika kutfuta mabadiliko ya kweli katika nchi etu, Tufungue Macho kila siku tuone map8ngufu yote ili yatuvute zaidi katika kutafuta mabadiliko kwa haraka, wape nguvu na ujasiri kila anayejitolea kututangulia katika wakati huu wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom