Wabunge wa CCM na shida ya kueleza matatizo yao Bungeni?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa walifanikiwa angalia bunge.Utaona jinsi gani wabunge wa ccm wanavyokosa lugha nzuri ya kuleza shida zao bila kufanana na CDM.utakuta vituko kama: -kupitisha hoja kwa asilimia 100, 200 n.k halagu baadaye wanatoa matatizo kibao yanayofanya support yake iwe kama amekaa hoja kwa zaidi ya asilimia alizotaj.Na effectively ni kuwa kakata. -wamekuwa akijitahidi angalu kuiponda chadema, kumsifia dhaifu na kukiita chama cha mapinduzi kuwa chama sikivu halafu wanaweka habari za kuthibitisha kuwa chama ni kiziwi. waungwana hembu changieni hawa jamaa wapate lugha ya kusema shida zao .Tunajua ni ngumu kuongea kitu bila ku offend ccm, kwani tayari chama kipo uchi long time.
 
Back
Top Bottom