Wabunge wa CCM na CHADEMA wazuiwa kupanda ndege!!!!

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Kutokana na matukio haya mawili abiria kutoka tanzania ambao ni wanasiasa wamekuwa wakizuiwa kusafiri kwa shirika la ndege la Afrika kusini.

Tukio la kwanza.

Wabunge wawili wa CHADEMA wakiwa wanasafiri kwa ndege kuelekea Johannesburg ghafla ndege ikiwa angani na huku wakiwa wanatazama picha za video alionekana mheshimiwa Jakaya Kikwete akihutubia kwenye moja ya matangazo ya biashara. Mara waliinuka kutoka kwenye viti na kutaka kutoka nje ya ndege na ndipo Airhostess alipofanya kazi ya ziada kuwakumbusha kuwa hawako Bungeni bali ndani ya ndege tena angani.

Tukio la Pili

Hii ilikuwa siku nyingine ambapo mheshimiwa mmoja mbunge wa CCM alikuwa usingizini mpaka ndege ilipotua Johannesburg. Ghafla akazinduka kutoka usingizini wakati abiria wengine wakiwa wanashuka na wengine kutoa mizigo yao. Ghafla akapiga kelele kwa sauti kubwa ''haooo... tumewazoea....haooooo, nendeni, wahuni, tokeni''. Safari hii Airhostess alifanya kazi kubwa kumzuia mzungu mmoja ambaye anasikia kiswahili vizuri na alidhani anatukanwa na alitaka kumpasua pua kwa ngumi. ''Hey good passenger this person is still dreaming...''
 
Natamani huyo airhostess angaekuwa supika, tehetehtethete inachekesha
 
Hakuwepo mbunge wa UDP kumwambia muhudumu wa ndege "shut up your mouth "wakati akitoa tips za usalama?
 
Kutokana na matukio haya mawili abiria kutoka tanzania ambao ni wanasiasa wamekuwa wakizuiwa kusafiri kwa shirika la ndege la Afrika kusini.

Tukio la kwanza.

Wabunge wawili wa CHADEMA wakiwa wanasafiri kwa ndege kuelekea Johannesburg ghafla ndege ikiwa angani na huku wakiwa wanatazama picha za video alionekana mheshimiwa Jakaya Kikwete akihutubia kwenye moja ya matangazo ya biashara. Mara waliinuka kutoka kwenye viti na kutaka kutoka nje ya ndege na ndipo Airhostess alipofanya kazi ya ziada kuwakumbusha kuwa hawako Bungeni bali ndani ya ndege tena angani.

Tukio la Pili

Hii ilikuwa siku nyingine ambapo mheshimiwa mmoja mbunge wa CCM alikuwa usingizini mpaka ndege ilipotua Johannesburg. Ghafla akazinduka kutoka usingizini wakati abiria wengine wakiwa wanashuka na wengine kutoa mizigo yao. Ghafla akapiga kelele kwa sauti kubwa ''haooo... tumewazoea....haooooo, nendeni, wahuni, tokeni''. Safari hii Airhostess alifanya kazi kubwa kumzuia mzungu mmoja ambaye anasikia kiswahili vizuri na alidhani anatukanwa na alitaka kumpasua pua kwa ngumi. ''Hey good passenger this person is still dreaming...''

You Just Made my Day! Asante
 
kwi wi kwi kwi wki kikwiiii kwii mbavu zangu mie!:wink2::wink2::wink2::wink2:
 
Wewe unaonekana mzalendo usiyemfuasi wa Chama chochote cha SIASA. Hongera kwa uamuzi wako mzuri kwani utakuwa na amani moyoni bila kuathiriwa na matukio ya kisiasa yanahusu vyama vya CCM na CDM. Nami nafurahia hiyo hali, jitahidi vile vile usiwe mshabiki wa Yanga au Simba hii itakuepusha na mashinikizo ya damu
 
Ni vyepesi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kukwepa kuwa mshabiki wa simba na yanga kwa mswahili kama mimi na kwa umri huu nilionao, itabidi niende kwa babu Loliondo nikanywe dawa nipone ushabiki.
 
Aisee we jamaa una kipaji!!!!!!!!!!
Dah, hadi mbavu zimeniuma kwa kucheka.
 
Back
Top Bottom