Wabunge wa CCM mzigo usiobebeka (e.g Hamis Kigwangalla)

Tundu Lisu Alimwambia Kigwangala ......"Huyu alienda kuanzisha maandamano kwenda kwenye mgodi wa madini akiamini kuwa mwekezaji anawanyonya wanakijiji, Sasa hivi anatuambia nini huyu".

Lisu bana!!! kile ni Kisu hatari sana!

Kwa hesabu za uwiano utaona kuwa Lisu mmoja=wabunge 150 wa CCM, angalia hoja karibu zote za marekebishao jamaa alizitawala,yule mh Zambi alikuwa na kazi ya kusema yake imerekebishwa pia nikashangaa analalamika serikali haiwasikilizi wabunge wa CCM jibu ni simple tu WANAONGEA PUMBA zaidi kuliko hoja.
 
Kitu kilichoniondoa stimu katika kikao hicho ni pale Mibunge ya CCM ilipokuwa inakubali kupitishwa kwa vifungu ambavyo hata hiyo yenyewe haikuwa ikiridhika toka moyoni. Kwa mfano pale Simbachawene alipounga mkono hoja ya Mnyika kisha katika kupiga kura akawa upande wa serikali. Kama hiyo haitoshi eti Waziri Mdogo, Nyarandu anatetea hoja kwa vile tu Uganda na Kenya ipo hivyo hivyo kwa hiyo sisi hatuwezi kuibadilisha huku kwetu! Sasa kama wanaona kwamba kitu kilichokubaliwa na Uganda na Kenya ndicho kinachotakiwa kiwe, kwanini wanakuja kukijadili bungeni! Au wameamua tu kupoteza pesa za walipa kodi kwa kukaa bungeni na kujadili kitu ambacho lazima kipite kama kilivyo!

Swali lingine nalojiuliza je kuna kifaa gani kimefungwa masikioni mwa Bi Kiroboto ambacho kinamwezesha kupima wingi wa sauti za Wabunge ili kujua waliosema ndio ni wengi kuliko waliosema Sio!

mimi hadi sasa hivi najiuliza
 
Mibunge ya CCM haijui kufikiri. Hata Kenya na Uganda watakosea, yenyewe yatafuata tu.
Tutayaaonda taratibu kwa kutumia nguvu ya umma.
 
Kitu kilichoniondoa stimu katika kikao hicho ni pale Mibunge ya CCM ilipokuwa inakubali kupitishwa kwa vifungu ambavyo hata hiyo yenyewe haikuwa ikiridhika toka moyoni. Kwa mfano pale Simbachawene alipounga mkono hoja ya Mnyika kisha katika kupiga kura akawa upande wa serikali. Kama hiyo haitoshi eti Waziri Mdogo, Nyarandu anatetea hoja kwa vile tu Uganda na Kenya ipo hivyo hivyo kwa hiyo sisi hatuwezi kuibadilisha huku kwetu! Sasa kama wanaona kwamba kitu kilichokubaliwa na Uganda na Kenya ndicho kinachotakiwa kiwe, kwanini wanakuja kukijadili bungeni! Au wameamua tu kupoteza pesa za walipa kodi kwa kukaa bungeni na kujadili kitu ambacho lazima kipite kama kilivyo!

Swali lingine nalojiuliza je kuna kifaa gani kimefungwa masikioni mwa Bi Kiroboto ambacho kinamwezesha kupima wingi wa sauti za Wabunge ili kujua waliosema ndio ni wengi kuliko waliosema Sio!

Nadhani huyu ni Bi Mkora.
 
Asante kwa kunikumbusha,hata mie huyo Bi kiroboto ananikera sana kwa kutumia staili hiyo ya MAYOWE
 
Sio Kigwangala tu. Vituko na vioja zaidi alivionyesha AG hadi Zitto alipomrudishia akili kidogo. NW wa Biashara, Nyalandu, naye alikuwa kituko cha aina yake pale alipokuwa akinukuu matamshi ya kejeli ya Jomo Kenyatta kwa Mwalimu. Nyalandu akawa anatetea wawekezaji kwenye EPZ na SEZ kama mjinga flani hivi.
bi nyalandu lazima atetee kenya,weye mchunguze same na mbunge mvaa heren kenya huyo so rizik hata jk anafahamu hilo ndo mana alisema wataka kula bila kuliwa.fanya uchunz
 
Ah! Kaoa mrembo flani hivi miaka ya karibuni.
 
Kwa hili sina la kusema, historia inatuhukumu sisi watu wa nzega,wana JF naombeni msaada wa kisheria ili nimburuze mahakamani huyu mbunge kabla ya 2015.Ili anyang'anywe chicho cheti cha udaktari
 
Iburuzeni CCM ndio iliyowabambikia huyu Kigwangala nanyi mkampa kura. Mzee Seleli yuko wapi? Akina Sitta, Mwakyembe wamemsahau kabisa!
 
mzee Selelii yuko mjini Nzega anakula mitaa tu kila siku.Sijui kama anampango wa kugombea tena
"ni bora kuwa na mbunge aliyeishia form four kuliko Daktari wa kuiba elimu
 
alishasahau kama aliandamana na watu wake........wabunge wengi wa ccm ni mzigo

Masikini ya mungu, wabunge wengi ccm hawajui kwa nini wanaingia bungeni, wengi wao wanadhani wanaingia bungeni kusaini posho na kuendesha magari ya mikopo. tena wengine wanakuwa wamelala usingizi wakisikia mtoa mada anatanja mikoa, huamka usingizini na kugonga meza wakiashiria katoa point!!!! CCM CRAP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sio Kigwangala tu. Vituko na vioja zaidi alivionyesha AG hadi Zitto alipomrudishia akili kidogo. NW wa Biashara, Nyalandu, naye alikuwa kituko cha aina yake pale alipokuwa akinukuu matamshi ya kejeli ya Jomo Kenyatta kwa Mwalimu. Nyalandu akawa anatetea wawekezaji kwenye EPZ na SEZ kama mjinga flani hivi.

Maji Marefu naye huwa anafuka moshi mpaka najuta kuangalia kipindi cha bunge
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom