Wabunge wa CCM kwa kujikomba!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Ushawahi sikia mbunge wa CCM akikataa kuunga mkono hoja bungeni!!. Lazima kwanza aanze kujikombakomba!!, mara ooh wananchi wamenituma!, mara ooh najisikia vibaya kutounga mkono hoja!, nitakosa ubunge next election!, waziri ni rafiki yangu sana!, Sijawahi kutounga mkono hoja hii ndio mara yangu ya kwanza!,......................................, halafu ndio imetoka!.
 
Huyu aliyesimama sasahivi ameanza mara ooh JMaghembe nakuheshimu sana kama kaka yangu.......ukiona hivyo yjue hawajiamini.....anaejiamini atasimama na kuchangia hoja vile anavyojisikia sio kutafuta huruma ya wana ccm wenzie!
 
Kuna huyu mbunge wa nkenge kweli ni nkenge!!Maji kwenye jimbo hilo hakuna anaanza kusema anaunga hoja??mwakani ajue tunamg'oa Missenyi!!
 
sasa kama ubunge wenyewe wanapewa bure unataka wawasalit mabos wao?wanatetea kiumbua chao siunajua wanapeana tu uchaguzi inakuwa egesha tu.
 
You can worship God and use money but you can worship money and use God. You can use money and win election and you can win election and insult your voters. Our leaders are not there for the sake of their voters but for their own benefit only. Mungu tuhurumie na Tanzania yetu ambayo tunadanganywa ni Maskini.
 
Back
Top Bottom