Wabunge Vijana Wa CCM: Tafadhalini Sana!

Hongera kwa kuonyesha moyo wako huu WA kijasiri kwani kwa Uozo uliokithiri chamani kwenu yeyote asiye jasiri hawezi kujianika humu. Sera zenu za kuchakachuana kwenye kura za maoni na kubebana ndio zinazopelekea kupeleka wabunge wengi ambao si wanasiasa japo ni wasomi. Elewa watakusoma lakini hawatokusikiliza.

- Vyama vyote vina matatizo tena makubwa sana, lakini muhimu ni kujadili na ni lazima ufike mahali uanze kujadili na wahusika, dawa ni kuwaomba kistaarabu badala ya kutumia kejeli na matusi, otherwsie unaeleweka sana bro!

William.
 
- Facebook victim, huku ni uwanja wa siasa sio matatizo yako binafsi kama nilivyokwambia kule Facebook sina muda na vimbwenelehi, ambao wanadhani wanaweza kuhamishia matatizo yao Facebook!

- Nimekwambia wewe ni mgeni hapa, mimi nipo loongtime hapa huna jpya hayo yote unayosema yamesemwa tayari na wala hayajawahi kunisimamisha kuja hapa, unakuwa loooser unapotanga tanga kulilia watu wakati matatizo ni yako mwenyewe, yatatue kwanza and then unaweza kusaidia wengine, kumbuka ujumbe wangu:

USISHAURI BINADAM WENGINE BILA KUOMBWA, UNLESS NI SIASA THEN NENDA KWENYE MAJUKWA YAKE SIO FACEBOOK! ha! ha! ha! ha!

wILLIAM.

Nani kakwambia mimi mgeni hapa? Wewe ndio mgeni Tanzania na unataka kujifanya unajua sana kuliko wengine......mawazo yako ni finyu sana........BTW mimi hiyo facebook hata siijui inatumikaje....kwangu ni kiwanja cha watoto na mimi sio mtoto....matatizo yangu unayajua?.....mimi siishi na wazazi kama wewe!!!....looser
 
- Hakuna mwenye shida ya kujua unapoishi, sasa unasema tuanze kuuliza members hapa kama wanaishi na nani ndio wawe members, mbona unajivua nguo wewe meneja mzima wa benki unakuja kujivua nguo, hakuna anayejali unapoishi hapa tunataka hoja, mume kakuacha kwa sababu kichwa chako kibovu, sasa unahanja hajnja facebook kutafuta watoto wa Viongozi yanakushinda unaanza kuja kugeuza matatizo yako kwenye JF, rudi kule Facebook!

- Mtumzima utashindana vipi na watoto warembo kule Facebook, sasa jamaa kakukacha maaana demu mtumzima na mlevi kama wewe ni noma sana, kachukua dogo dogo umeenda kumililia yule dogo kakutolea nje cause anazimia na jamaa, rudi tena kule facebook katafute watoto wa viongozi huku hawapo, ukupela kisa mweeeh!

Es!
 
- Unajua kama unatakwanwa maneno yenye ukweli ndani yake ndio inaweza kwua tatizo, lakini haya maneno yale yale miaka nenda miaka rudi na watu wanaishi maisha yao kama kawaida, unless sio a politician ndio unaweza kukonda! ha! ha! ha! ha!, ubaaya ni kama kwenye matusi wakisema wewe ni mwizi na usahidi upo that is bad, otherwise mengine ni kelele za mlango tu!

- I mean watu wanakutukana halafu wanakusahuri uingie Upinzani, sasa kweli unaamini watu wanaoukutukana kwamba huna akili wanawezaje tena kutaka Uingie kwenye vyama vyao, si ndio maana mimi huwaga si-pay mind, ila ninahakikisha hoja yangu imeeleweka!

William.
mkuu hasa tungepata na mawaziri ndo ingekuwa nzuri zaidi!
 
- Hakuna mwenye shida ya kujua unapoishi, sasa unasema tuanze kuuliza members hapa kama wanaishi na nani ndio wawe members, mbona unajivua nguo wewe meneja mzima wa benki unakuja kujivua nguo, hakuna anayejali unapoishi hapa tunataka hoja, mume kakuacha kwa sababu kichwa chako kibovu, sasa unahanja hajnja facebook kutafuta watoto wa Viongozi yanakushinda unaanza kuja kugeuza matatizo yako kwenye JF, rudi kule Facebook!

- Mtumzima utashindana vipi na watoto warembo kule Facebook, sasa jamaa kakukacha maaana demu mtumzima na mlevi kama wewe ni noma sana, kachukua dogo dogo umeenda kumililia yule dogo kakutolea nje cause anazimia na jamaa, rudi tena kule facebook katafute watoto wa viongozi huku hawapo, ukupela kisa mweeeh!

Es!

Tukisema wewe ni LE MUTUZ tunakula ban.........eti mimi demu?.... Kha...kweli facebook inaharibu akili za watu....anyway am just off from lunch na nilikuwa na brother wangu ambae ni baharia wa siku nyingi na nikamueleza 'tatizo' letu hapa JF akaniambia anakujua vizuri na niachane na wewe....kumbe uliwahi kunywa sumu sababu ya mtoto wa kike.....una psychriatic disorders
 
MH MH MH! (clear my throat) sasa hivi ni viroja, Asanteni sana, Esp Kiranga, you guys are funny as hell lakini hoja zenu ni za msingi.
 
Tukisema wewe ni LE MUTUZ tunakula ban.........eti mimi demu?.... Kha...kweli facebook inaharibu akili za watu....anyway am just off from lunch na nilikuwa na brother wangu ambae ni baharia wa siku nyingi na nikamueleza 'tatizo' letu hapa JF akaniambia anakujua vizuri na niachane na wewe....kumbe uliwahi kunywa sumu sababu ya mtoto wa kike.....una psychriatic disorders

- Angekunywa sumu basi kukuacha wewe, tatizo ni kwamba amekuacha kwa sababu ni mtumzima sana, halafu ni mlevi, halafu akili zako ndio izi, tafuta mzee mwanzako mbona wapo wengi tu, kwani lazima umlilie huyu jamaa tu! Watoto wa viongozi mbona wengi sana kule Facebook!

- Mbona kwenye kukuacha wewe hajwanywa sumu? bwa! ha! ha! ha!!

Es!
 
Tukisema wewe ni LE MUTUZ tunakula ban.........eti mimi demu?.... Kha...kweli facebook inaharibu akili za watu....anyway am just off from lunch na nilikuwa na brother wangu ambae ni baharia wa siku nyingi na nikamueleza 'tatizo' letu hapa JF akaniambia anakujua vizuri na niachane na wewe....kumbe uliwahi kunywa sumu sababu ya mtoto wa kike.....una psychriatic disorders

Alaa! ndo maana akili zake kama vile zina ukurutu, kumbe the guy has a poisoned mind!ooh what a pity!
 
- Angekunywa sumu basi kukuacha wewe, tatizo ni kwamba amekuacha kwa sababu ni mtumzima sana, halafu ni mlevi, halafu akili zako ndio izi, tafuta mzee mwanzako mbona wapo wengi tu, kwani lazima umlilie huyu jamaa tu! Watoto wa viongozi mbona wengi sana kule Facebook!

- Mbona kwenye kukuacha wewe hajwanywa sumu? bwa! ha! h

Es!
Hapa naona kama vile unaingilia sana kuhusu diss wanazopeana hawa jamaa, sidhani kama una haja ya kushadadia kiundani hivyo unless otherwise wewe ni WJM.
 
- Sijakutana nao wote so kwa maneno mengine huu pia unakuwa wito kwa wale amnbao sijakutana kwa wale niliokutana nao huu unakuwa msisitizo, angalau kwenye hii post unajisema tatizo lako una wivu kwa nini ninakutana nao, kwingine umejificha ficha kwenye maneno ya ujana na uzee! ha! ha! ha! lakini hapa unasema wazi tatizo lako, ndio JF hii inakukaba mpaka useme shida yako kwa sisi tunaojua kusoam between the lines! ha! ha! ha!

William.

sina uhakika kama una reply comment yangu au la, maana hakuna mahali panapotanabaisha kwamba nina wivu na wewe kwa kukutana na hao jamaa, to me it's no big deal labda kwako wewe it's an issue ndo maana unapenda ku-mention! i'm very sorry for you son of a benched politician!
 
- Ok umeeleweka lets get back to the ishu at hand!

WWilliam.
 
Kwa hili la parallel lines Kiranga uko sahihi lakini hata Bamukunda alikuwa sahihi, yeye alisema parallel lines hazikutani haku-specify ni Euclidean au non-Euclidean geometry. Ni kweli kwenye Euclidean geometry parallel lines hazikutani, ungeonekana mstaarabu kama ungemuuliza anamaanisha geometry ipi, Euclidean geometry, hyperbolic geometry au elliptic geometry.

1. Yeye amesema haziwezi kukutana, which means haziwezi kukutana, mie nimeonyesha zinaweza kukutana. Simple like that.
 
icon1.png
Re: Wabunge Vijana Wa CCM: Tafadhalini Sana!

Ok, now i'm pleased that you that we know where your sense of frustration originates from!!! ha ha ha...

- Great Sinking!

William.
 
- Nimetoa somo kwa Wabunge vijana na wewe unaweza kuanzisha thread ya Wabunge wazee, mimi nia na madhumuni yangu kwenye hii thread ilikuwa ni Wabunge Vijana tu, ambao ninashirikiana nao sana kila siku ya Mungu, leo nilikuwa nao na Jumapili nitakuwa nao tena, I mean kama huna uhakika na ishu ni kuuliza kwanza, kuliko kukurupuka kama ulivyofanya, tizama heading kwanza kabla ya kukurupuka next time! ha1 ha! ha!

William.

Mkuu umemjibu vizuri. Nikirudi kwenye mada nasema hivi tatizo la wabunge vijana ni kuwa na hofu sana juu ya rungu la Chama na kwamba wanaamini kuwa pindi CCM ikiwabana basi wataporomoka kiuchumi. Hii inaonyesha kuwa wabunge wengi vijana ule usemi potofu wa Waziri Mkuu enzi ya Mkapa usemao kuwa "ukitaka kufanikiwa katika biashara yako basi kaa CCM" wameuamini sana. Hofu hii ndiyo inayowafanya bubu kwenye hoja za msingi juu umma kwa ujumla. Tabia hii itawaponza sana kwenye chaguzi zinazofuata.
 
Back
Top Bottom