Wabunge Vijana Kupoteza viti vyao 2011

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Bunge la sasa limekuwa moto kutokana na ongezeko la wabunge vijana, lakini vijana hawa wapo mbioni kupoteza viti vyao 2015 kama tabia ya kulewa sifa haitaondoka miongoni mwao. Kimsingi Tanzania inahitaji wabunge vijana wenye uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi yao kwa busara kwa kutumia vizuri elimu waliyonayo. Vitendo vya uropokaji na kujiamini kupita kiasi na kuonge kwa sababu tu mdomo unao kama ilivyokuwa kwa Ndugu Kafulila vitapelekea umma wa watanzania kupoteza imani kwa wagombea vijana. Tunaomba mjitahidi kufanya kazizenu kwa ufasaha madaraka makubwa mtayapata tu uasi si lazima
 
kwani wewe ndio unachagua wabunge? Unge kuja na data kuonyesha msimamo wa wapiga kura. Bilaskaka utakuwa mzee na unakiwewe.
 
Vitendo vya uropokaji na kujiamini kupita kiasi na kuonge kwa sababu tu mdomo unao kama ilivyokuwa kwa Ndugu Kafulila vitapelekea umma wa watanzania kupoteza imani kwa wagombea vijana.

sijaelewa hapa kuropoka???
 
Ninamaana ya kuongea vitu bila staha kwa mfano Kafulila alipovuliwa ukatibu mweneze 12/12/2011 alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa hana shida na ukatibu wenezi kwani nafasi aliyonayo ni kubwa na akaendelea kusema akisisitiza kuwa hata mwenyekiti wake anautamani ubunge kwasababu unahadhi lakini alipogombea aliukosa. So unaweza kupima kama kauli hizi zinzbusara au la?
 
Labda kwa CDM kimakosa ndio umewaona hao wawili tu!!
Ccm wabunge wake WOTE wanastahili kutorudi!!

Sijakilenga chama chochote na nimetoa taadhari tu kwa ujumla kwasababu hao vijana wanaotarajia kugombea ubunge 2015 wananchi wanaweza kuwapima kwa kuangalia vijana waliopo madarakani sasa wanafanya nini. Kwahiyo vijana wakitenda vizuri sasa watafungua milango kwa vijana wengi zaidi kuingia bungeni 2015.
 
Back
Top Bottom