Wabunge, Rais na Makamu wake wakatwe mishahara na Posho kulipa Dowans

Unless kuna namna ya kuendelea kuwabana,watakatwa na watatumia gaps zilizopo kujilipa kile walichokatwa.....ambayo it could be worse!
There should be a sustainable solution to this problem, i know we have to be quick because soon DOWANS might be paid but honestly i do not see this working Mwanakijiji, na hiyo condition ya kulipa nani anawapa,kwa sheria ipi??? what if wakikataa???:A S 39:
 
Jamani msiwe too low kiasi hiko ,kwa sababu serikali ni ile ile na watu wanaofanya maamuzi ni muendelezo wa wale waliopita ndio maana wamekaa kimya kwa sababu, ndio walewale ..na hii inabidi ndio uwe msimamo wa wananchi kuwa hili deni lilipwe na viongozi na wala sio hela ya wananchi.
 
MM hili suala la Dowans na malipo yake ni kipimo tosha kuwa tuna wanasiasa na viongozi wa aina gani katika Taifa hili. Nakubaliana nawe kwa wazo la Raisi na wabunge kuilipa Dowans kwa kushiriki kwao kuileta na kuihalalishia uhalali wa kufanya biashara na TANESCO..

Hivi yale mapendekezo ya kamati ya Bunge bado yapooo?? Maana kwa bahati nzuri wajumbe karibu wote wa kamati teule plus SPIKA aliyesimamia mwanzoni wapo ndani ya bunge bado...

Kelele za SITA NA mwakyembe kama vinara wa ukosoaji wa sualaa hili bado hazina mashikooo!!! HAWATHAMINI UTU WAO ZAIDI YA MATUMBO YAO...Mwili ni pamboo tuu kwani roho haifi na huishi kwa vizazi hata vizazi kama legacy ya Mwalimu inavyoishiii...
 
Mzee MM hunadhani kuwakata mishahara hao wakubwa itawapa pinch yoyote! sijui maana nadhani watakuwa kama wamechangia harusi za Dar es Salaam; na huyo Mkuu wa kaya labda ndio hatosikia hata kama kaguswa maana kama ana mgawo wake akatoa kidogo kurudisha sio tabu ni kama kutoa sadaka, sijui; mimi siyo mtaalam wa sheria kwani hiyo hukumu haiwezi kukatiwa rufaha maana sijasikia wakiongelea hili, tuangalie tuone mwisho wa picha itakuwa ajabu sana kama serikali haito chukua hatua zozote juu ya hii, hasa kukata rufaha kama inaruhusiwa, pamoja na hatua kali kwa watu wote waliohusika katika kuleta hiyo company hapa nchni.

Itakuwa historia mbaya sana juu ya serikali, na nina kwambia mara tu baada ya kulipa utasikia maneno kutoka kwa wafadhili hasa wanaochangia Miradi ya maendeleo na Budget yetu hawato kaakimia kuchangia maendeleo alafu kunafedha zinachukuliwa kufisadi huku wakiona.

Regards

Arafat, kuhusu rufaa! Kipengele kimoja wapo kwenye huo mkataba kinasema kwamba uamuzi wa wasuluhishi ni final and conclusive! Hakuna nafasi ya kukata rufaa. Mkataba ni makubaliano! Ndicho tulichokubali! Hatutakata rufaa.
 
Naunga mkono.

Lets see if they are really serious paying out this phony company with our monies.
Let them put their money where their mouths are.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Nimefikiria kuwa kwa vile Dowans watalipwa no matter what kama nilivyosema miaka karibu mitatu iliyopita na kwa vile malipo haya inaonekana yatatokea kabla ya kikao kijacho cha Bunge kwa vile haiwezekani kutokulipa. Nimeona nije na pendekezo jepesi lenye mantiki kuwa Wabunge, Rais na Makamu wake wakatwe mishahara na posho zao kulipia Dowans. Kwa sababu moja kubwa kwamba Rais ndiye anahusika na kuja kwa Dowans na Wabunge kwa sababu walishindwa kuisimamia serikali na kuiuzia kuliingiza taifa kwenye gharama hizi.

Hili litakuwa fundisho kwa sehemu zote hizo mbili kuwa waangalifu. Na wasitafute namna ya kuongeza mishahara na posho kwa wakati huu baada ya kuilipa Dowans. Hesabu zangu za haraka haraka zinaonesha kuwa wabunge na Rais wote wakianza kulipa kila mwaka watalipa dola 30,000 hivi kwa mwaka kwa kila Mbunge. Hii ni chini kidogo ya posho yao ya magari mapya!

Na hii iwe kanuni mpya kuwa wakati wowote serikali inaingizwa mikataba mibovu ni wabunge na Rais ndio watakuwa wanalipia adhabu za kijinga kama hii ya Dowans! Kama hawako tayari (au wazo hili litakuwa baya) basi JK aamue kusitisha ongezeko la mishahara kwa wabunge mawaziri na watendaji wote wakuu wa serikali akiwemo na yeye mwenyewe kwa miaka mitano ijayo!!

MMM(BGM)

Mkuu nakubaliana kabisa na wewe rais,mawaziri na wabunge wa bunge lilopita na walichanguliwa tna wawajibike kwa wananchi kulipa hilo deni bila ya kujiongezea mishahara wala posho zao watakuwa makini sna cku nyingine kutoingiza serikali katika madeni na mikataba hewa.
 
Unajua MM ngoja tuwe a bit realistic.Serikali inaedneshawa kwa bajeti.Kuna bajeti ya matumizi (Recurrent) na bajeti ya maendeleo (development).Bajeti ya serikali ya 2010/2011 tayari ilishapitishwa na bunge.Sasa linapotokea suala kama hili la kulipa Dowans unadhani pesa zitatoka katika sehemu ipi ya bajeti? Mimi sidhani kuwa mipango ya serikali ambayo inareflect katika bajeti kuwa itavurugika kwa kulipwa dowans.Unajua kwetu wataalam wa uchumi tunaelewa kuwa katika bajeti kuna kipengele kinajulikana kama miscelenoius expenditure.Yawezekana kipengele hiki ndicho kitakachotumika kulipa dowans.Maana yake ni kwamba hata kama dowans hawakulipwa hakuna kitachoongezeka kwetu kwa mfano kama serikali katika mipango yake hapakuwepo kutupatia maji ya bomba sisi wakazi wa Kimara hata kama dowans hawakulipwa hatuwezi kupata maji pengine kusema kwamaba pesa ambazo zimesalia sasa zipeleke maji kimara. Ninawshangaa sana wanaojiita wanaharakti,ukiwasikiliza sana utasikia wameshupalia viongozi wa Kenya waliopatikana na makosa ya kujibu na Ocampo wa ICC waende wakahukumiwe yaani kwamba lazima waheshimu sheria za kimataifa.Lakini ikija kwa suala ICC na dowans unawasikia wanasema hakuna kulipa,yaani kana kwamba ICC ya Dowans sio mahakama ya kimataifa inayostahiki kuheshimiwa.Wanakuwa na double standard,huu ni unafiki. Hizi pesa zinaniuma sana kuzitoa lakini suala hili limekuwa na fitina nyingi za kisiasa.Kama ushauri wa kamati ya bunge ya kuinunua mitambo ya dowans lingefuatwa wakati ule huu mzimu wa dowans haungekuwepo vichwani mwetu tena.Ifike mahala serikali iamue moja ama kuwalipa au utowalipa,lakini isipolipa sio kwamaba suala ndo litakuwa limeisha,bado serikali italazimika kuapeal,sasa swali ni je kama itashindwa itafanya nini? Itumie ubabe tu kwmaba hailipi basi ndo utakuwa mwisho wa swali? Je wawekezaji makini wataiamini serikali kuja kuwekeza hawataogopa yanaweza kuwapata ya dowans? Let us think critically
 
Itakuwa historia mbaya sana juu ya serikali, na nina kwambia mara tu baada ya kulipa utasikia maneno kutoka kwa wafadhili hasa wanaochangia Miradi ya maendeleo na Budget yetu hawato kaakimia kuchangia maendeleo alafu kunafedha zinachukuliwa kufisadi huku wakiona.


Ni bahati tu tumelisikia hili la DOWANS na pengine kwa vile lilianzia kwenye Richmond ambayo ilikuwa inaangaliwa na wengi. Inatakiwa Watanzania watambue wazi kuwa uchafu unaofanyika ndani ya Serikali ni mkubwa mno na unaoanikwa hadharani ni mdogo mno.

Ila Mkuu MM unadhani kweli kuna uwajibikaji wa pamoja ndani ya Serikali iliyoko madarakani kama viongozi wenyewe wanazunguka mitaani kila mmoja akiongea mambo yanayohusu mustakabali wa taifa kama wanamuziki wa kizazi kipya (bongo flavor)?
 
mimi naomba kuuliza,na zile posho wanazopeana kwenye vikao vya bunge vinakatwa kodi?mana hapa mimi nnapofanyia kazi tunakatwa mpaka nauli kodi kipindi cha likizo,
wanatekeleza ile ANY INCOME MUST BE TAXABLE.BUT WHAT ABOUT THEM?PLIZ HELP KUFAHAMISHWA.WENYEWE KODI WANALIPIA WAPI
:whoo:NAUMIA/NNA MACHUNGU
 
Arafat, kuhusu rufaa! Kipengele kimoja wapo kwenye huo mkataba kinasema kwamba uamuzi wa wasuluhishi ni final and conclusive! Hakuna nafasi ya kukata rufaa. Mkataba ni makubaliano! Ndicho tulichokubali! Hatutakata rufaa.

Ehee acha bwana yaani tuliingia mkataba wa ajabu hivyo?? Nashukuru kwa Elimu na Taarifa kweli husilo lijua..........! Mungu wangu kumbe hatuna serikali hata kidogo.

Laki Msando huo mkataba ni serikali na Dowans au Serikali na Rich,onduli!! kam ni wa Ric,onduli na Je katika na Serikali na Dowans upo?
 
kuna wabunge wengine hawakurudi baada ya uchaguzi na pia kuna wabunge wengine wapya hawakuusika na upangaji wa mikataba hiyo kwa hiyo watalalamika kuwa kwanini wakatwe wakati hawakuwepo katika bunge lililopita

kweli kabisa kili. Labda kama ni kulipia dowans wapunguziwe luxuries sio kuwakata mishahara halafu unawaambia wao ndio wahusika wakati wengine mambo waliyakuta na wengine walikuwepo lakini waliyapinga.
 
wakuu, hili swala ukifikiri kwa undani zaidi linaumiza sana, MM, wazo lako ni zuri sana ila tujiulize pato la wabunge na mawaziri chanzo chake ni wapi?jibu rahisi sana kodi zetu na wafadhili, hivyo basi hata wakikatwa posho zao ni yaleyale tu hakuna badiliko lolote, nadhani la muhimu ni kuhakikisha wahusika wa mkataba huo wanawajibishwa ipasavyo na ikiwezekana wavuliwe madaraka walionayo kwa maslahi ya nchi, dowans ni deal ya genge la mafisadi ambao wengi wao ndio hao hao watunga sheria. Maneno yetu bila vitendo kamwe hayawezi nusuru nchi yetu, na wengi wetu hatufanyi maamuzi bali ni watekelezaji tu, je kuna faida gani ya kulia lia hapa jf wakati we have no power? Huwa sometimes huwa naona giza nikifikiria kizazi kijacho cha watanganyika.
 
Hoja imepita 100% anaebisha anakachembechembe ka-ufisadi mwilini.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Nimefikiria kuwa kwa vile Dowans watalipwa no matter what kama nilivyosema miaka karibu mitatu iliyopita na kwa vile malipo haya inaonekana yatatokea kabla ya kikao kijacho cha Bunge kwa vile haiwezekani kutokulipa. Nimeona nije na pendekezo jepesi lenye mantiki kuwa Wabunge, Rais na Makamu wake wakatwe mishahara na posho zao kulipia Dowans. Kwa sababu moja kubwa kwamba Rais ndiye anahusika na kuja kwa Dowans na Wabunge kwa sababu walishindwa kuisimamia serikali na kuiuzia kuliingiza taifa kwenye gharama hizi.

Hili litakuwa fundisho kwa sehemu zote hizo mbili kuwa waangalifu. Na wasitafute namna ya kuongeza mishahara na posho kwa wakati huu baada ya kuilipa Dowans. Hesabu zangu za haraka haraka zinaonesha kuwa wabunge na Rais wote wakianza kulipa kila mwaka watalipa dola 30,000 hivi kwa mwaka kwa kila Mbunge. Hii ni chini kidogo ya posho yao ya magari mapya!

Na hii iwe kanuni mpya kuwa wakati wowote serikali inaingizwa mikataba mibovu ni wabunge na Rais ndio watakuwa wanalipia adhabu za kijinga kama hii ya Dowans! Kama hawako tayari (au wazo hili litakuwa baya) basi JK aamue kusitisha ongezeko la mishahara kwa wabunge mawaziri na watendaji wote wakuu wa serikali akiwemo na yeye mwenyewe kwa miaka mitano ijayo!!

MMM(BGM)

Mwanakijiji,

hii proposal yako ni sawa na kucheza sindimba tu.

Manake ni sawa na kuchukua hela mfuko wa nyuma na kuhamishia mfuko wa mbele. Kitu ni hicho hicho tu. Hizo hela za Dowans at the end of the day zinawarudia hao hao tu.

Solution ni kwamba its high time kwa watu kujua kuwajibika. Waziri wa nishati na madini, mzee Mrindoko (Kamishna wa umeme), Katibu mkuu, Mwanasheria mkuu aliepitisha ushauri wake, wanasheria wa Tanesco n.k. inabidi wachukuliwe hatua ikiwa ni pamoja na kushitakiwa mahakamani kwa kuliingiza taifa hasara kubwa.

Rostam anatakiwa afunguliwe kesi ya mauaji manake kitendo cha kuliibia taifa 94 bilioni ni sawa na kuua wananchi haswa ukizingatia ni wamama wangapi au ni watoto watakufa kwa kushindwa kupata huduma ya afya kutokana na serikali kulipa deni hili?
 
hapo utakuwa umewahukumu wabunge wote, na wale wasiohusika hasa wale wa upinzani ambao sauti yao ni ndogo hata pale wanapopinga jambo ikipigwa kura watashindwa na mswada utapita
Ni stahiki yao na ndio watakuwa na machungu nanchi kama haitokuwa funguo ya kutufisidi kwa spidi 360!

Mwanakijiji umesema vema ila wanaostahili ni wabunge wa CCM wa sasa na waliopita na mawaziri wao akiwamo na mkuu mwenyewe JK, pia wabunge wa bunge lililopta wote wawemo na walipe pia. maana bila wao na kama walikuwa hawapo bungeni kwa maslahi yao mbona hawakujiuzulu ili ioneshe kwamba wamekataa hawamo!
 
Hivi wananchi wakikataa kulipia umeme yaani TANESCO wajikute hakuna hata mtu mmoja analipia umeme watafanyaje? Watakata umeme wilaya nzima, Mkoa mzima halafu?
 
Back
Top Bottom