Wabunge punguzeni ujiko kwenye ugonjwa

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
View attachment 40170
IMG_2150.JPG

Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumjulia hali Zitto Kabwe.

Jamani wabunge wetu wanapenda sana promo haswa kwenye maswala ya shida, angalia hawa wameenda kumjulia hali Zitto wametafuta mwandishi wa habari wapige picha ili wapate promo, inamaana asingepatikana mwandishi wa habari wasinge kwenda kumjulia hali? Jamani wabunge na viongozi wengine acheni kuuza sura kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom