Wabunge Nyota!

Samahani kwa kumsahu mwakilishi wa Nyamagana, Mr. Wenye kiboko cha Spika makinda na CCM
 
Si kwamba amemsahau Tundu Lissu bali kwa kuwa anaendeshwa na hulka za udini zaidi ya UCCM wake.
 
Ondoa ujinga wako. Unasema Zitto ni mtu makini, wakati huyo bwana hawezi kuzungumza bila kupata idhini ya mabwana zake - Kikwete na Usalama wa taifa? Zitto amekwisha sasa na kila muda unavyozidi kuyoyoma ndivyo umma unavyozidi kumuelewa.
 
Jamani tusimlaumu sana ZZK kwa kutetea baadhi ya UFISADI hapa nchini. ZZK anajaribu kulinda maisha yake si mnakumbuka alivyokoswa kwenye ajali aliyopata yule mama kada wa CCM akitokea Iringa. ZZK anatumia falsafa mbili katika kuendesha siasa zake.
1. IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM
2. ASKARI SHUJAA NI YULE ANAYEKWEPA RISASI ILI ANDELEE KUTUMIKIA JESHI LAKE NA SI ANAYEKUFA VITANI.
Japo falsafa hz ni nzuri bt CDM should watch him very careful in his every move coz these philosophy may lead him to find hims
 
Back
Top Bottom