Wabunge Nukuu za mistari ya vitabu vya Mwenyezimungu BUNGENI

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nimekuwa nikiwaskia baadhi ya wabunge ambao hupenda kunukuu baadhi ya mistari ya kwenye maandiko matakatifu.Hasa katika vitabu vya Biblia na Qur'an,na wakat mwingine hupenda kuwataja baadhi ya mitume ambao hulinganisha na viongoz wetu.
Leo nilimsikia Mbunge Nkamia akinukuu baadh ya AYa Kutoka kwenye kitabu kitakatifu yaan QUR'AN tukufu,msisitizo mkubwa aloutoa ni kuiasa jamii kutii viongoz ambao ni chaguo la mungu,na mwishoni akatamka neno YA'AYYU LADHINA AAMANUU-akimaanisha ENYI MLIOAMINI ina ,aana waliomuamini mungu,,,,,,,lakini si watu wote wanamini mungu.
Nikija kwenye Hoja,watawala wetu wasipende saana kutumia mistari au nukuu za Mungu kuuhalalisha ujuha wao,mungu hakuwa na maana kwamba viongoz wasio waadilifu waheshimiwe,mungu hakusema kuwa viongoz wala rushwa,walevi,wazinz na wanaosinzia BUNGENI,wasiojali raia wao waheshimiwe,kwani hata siku ya mwisho KILA MCHUNGA ATAULIZWA JUU YA KILE ALICHOKICHUNGA,,,,,,,mbona hawazungumzi juu ya viongoz wasio waadilifu Mungu amesemaje????maana maandiko wanayoyaongea au kuyataja wanayachukua yale ya upande unaowapendelea lakin nawashangaa kwa nini hawasemi KIONGOZ ASIYE MUADILIFU AFANYWEJE??????viongoz wetu wa sasa wanadharaulIwa ni kwa sababu si waadilifu,si wakweli,
NAWASILISHA
 
Politicians have the rights to use faith and/or religion in their emphasis and/or clauses. But, the issue here is this, are they believing in what they preach? I mean, do they follow what the Holy books are saying? I guess not. None of the leaders, from ruling party to opposition parties truly have the interest in developing TZ. None of them have come with a plan to rescue TZ, none none at all. So, I may conclude by saying they are all the same thing using different umbrella.
 
Ur ryt

<br />
<br />
 
Back
Top Bottom