hawa wabunge ni wajumbe wa mabaraza ya madiwani kwnye majimba yao. na wanapaswa kusimamia halmashaur hizo kama madiwani. iweje leo waje walalamikie bungen kama vile hawakuyaona huko kwnye majimbo yao. ubadhilifu unafanyika na ufisadi mwiny na hoja wanazotoa walipaswa pia kusimamia kule kwny halmashauri.Wazo langu wangeweza kusimamia ubadhilifu kwa kushirikiana na madiwan wengin na kuiwajibisha serekal toka kweny halmashaur