JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Junius,
..Zanzibar ilipokatiwa misaada na wafadhili ni Tanganyika ndiyo ilikuwa ikiwasaidia wakati mkichechemea.
..wafadhili wanapotoa msaada wanaelekeza vilevile msaada huo uende eneo lipi na kwa mradi gani.
..kwa mfano: hata huku Tanganyika wafadhili wakisema msaada wao ukasaidie kujenga barabara DSM serikali haiwezi kuchukua fedha hizo na kujenga barabara ya Mtwara ambako kuna matatizo zaidi ya usafiri kushinda DSM.
..kama amri imeshatoka kwa wafadhili kwamba hawatasaidia Zanzibar, usitegemee Waziri wa Fedha aanze kupingana nao. anachoweza kufanya ni kusaidia Zanzibar kwa fedha zinazotokana na vyanzo vya ndani, kitu ambacho kilifanyika.
NB:
..waZenj wako milioni moja tu na kiasi. hata wakiamua wote kuhamia Tanganyika hakutakuwa na matatizo yoyote.
..Muungano uvunjwe, na kuwekwe kipengele kwamba Mzenj yeyote anayetaka kuendelea kuishi Tanganyika ruksa.
..hizi kelele wanazorushiana wanasiasa kila kukicha zinatu-distract wananchi na kupotezea viongozi wetu muda kushughulikia matatizo ya wa-Tanganyika milioni zaidi ya 30.