Kutokuwa makini matokeo yake ni kupitisha sheria za ovyo na zisizo na tija kwa Taifa.Kwa sababu ni wahuni wengi wao,na ndio madhara kuwapa mamlaka mishen town wasimamie raslimali zetu lazima tukione chamtema kuni tu,wakuu wa nchi hii wanapiga deal zote za kimjinimjini kama wale wanaokaa maskani za posta na lumumba,billicanas, sinza etc
Limekuwa Bunge la Mnyika vs AG, Werema!Wapo tu ndiyooooooo! wamemwachia mnyika aibu!!