Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

msumbue mbunge wako kwa simu au email asaini..,

hii itakua wake up call kwa serikali,

Its not personal mr.premier, we need change
 
Pm naye amezidi usanii, kila akiulizwa maswali huwa anajidai anajibu kwa kujiamini lakini hamna lolote analofuatilia.

jamaa ni 'shake well before use'

he's not honest. muangalie usoni tu akizungumza.
 
Pinda hatapona...... i predict he will goooo.... namuona PM anasoma notebook nyeupe peee hamna kitu....Yaani hizo saini 70 by kesho mchana atapata mara moja....
 
Nimekuwa against zito kwa muda hata mwaka juzi nilipokutana Naye mlimani city nilimwambia Kamati ya madini imembadili! Leo ameniprove wrong sorry zito tupo pamoja sasa! Ur presidency material kura 48 za CDM na zingine 22 Mh Pinda chali
 
Hivi wabunge wa CDM, NCCR, UDP, na TLP jumla yao ni wangapi? CUF hawaaminiki katika hili.
 
Ndugu wapendwa
kwa wanaoangalia bunge la jamhuri ta muungano wa tanzania
naweza kuamini wameungana na mimi kutoa machozi wakati huu zitto kabwe anapoelezea
makubaliano yao katika madudu yaliotokea

katika kunihuzunisha zaidi mh zitto kabwe...kuonyesha makaratasi yanaoonyesha kumbe
serikali imeshaaanza kuwalipa kampuni ya wallis trading ilioikopesha atcl ndge ya airbus ambayo
aikufanya kazi zaidi ya miezi sita na kupelekwa ufaransa ambako mbaya zaidi ni kwamba aiko ufaransa
imeashakodishwa na watu wanalipwa pesa wakati sisi tukiendelea kuwalipa pesa wakati huo huo

""ndugu mh naibu spika wakati tunasema na kulalamika kuhusu serikali kuruhusu uozo wa ukodishwaji wa atcl nasikitka sana sana kukwambia nina nyaraka hizi hapa zinaonyesha serikali imeanza kuwalipa waljis na docs hizi hapa ...mh naibu spika ni aibu tupu wakati waziri wa uchukuzi ameshauri kuomba
wasilipwe kwanza na nina nyaraka wizara ya fedha imekiri aitolipa iweje leo hii wanalipa bila kutujulisha kama wabunge

ndugu zangu waheshimiwa wabunge hili ninaloenda kuwaambia ni aibu zaidi...ninayo makaratasi yanayoonyesha makubaliano ya hawa waljis trading kupewa bandari ya mtwara wakihakikishiwa kushinda kwenye tenda kwa maandishi na saini za wakubwa tu kwenye wizara ya fedha..hii ndio serikali yetu na katia makubaliano hayo baadhi ya pesa watakatana pale watakapopewa bandari ya mtwara

waheshimiwa wabunge makaratasi haya haayapa naomba niwahakikishie nitawapa kila mmoja nitampa mh waziri mkuu haya yote na leo watuambie kampuni ya ndege imefikaje kuongoza bandari za tanzania
ni tuna serikali tuna wahuni kwenye bunge????
 
Mawaziri waliotajwa kwenye CAG kumtoa waziri mkuu Kafara,au kujiuzuru by Monday.
Zitto akusanya signs 71 tu za wabunge,J3 kutoa hoja ya kutokua na Imani na Waziri Mkuuu.
Saafi saana zitto taifa lipo nyuma yako.
 
Toka bungeni Zitto amesema kuwa ile ndege tuliokodi ya AIRBUS deni liliotokana na ukodishaji huo serikali imeamua kumkabidhi mdai bandari ya Mtwara kufidia deni.
Ninapochoka ni kuwa ata ndge yenyewe hatukuitumia iyo ndege,sasa ili deni linatoka wapi jamani.
Zitoo pls wakati unaendelea kukusanya izo signature 70 enlighten us on this maana hili la bandari its too much
 
ZITTO kafyatuka;Kesho mchakato utafanyika kukusanya sahihi, zinahitajika sahihi 70 tu.
Kama yeye ameshindwa kuwajibisha mawaziri basi awajibishwe yeye!!!!
Halafu sasa wataamua nani abaki

Mkuu, hizi habari zitakuwa zimemfurahisha mh g lema! maana ile funga yake inajibu maombi.
 
Sidhani kama huo mpango utaungwa mkono na wabunge wa CCM..
Wabunge wa CCM ni wengi zaidi bungeni..hawana historia ya kufanya maamuzi magumu.Huo mpango hauta materialize na utabaki kuwa a wishful thinking tu.Basi!
 
Zambi,
Filikunjombe, Kangi Lugola... Tunahitaji sahihi zenu, wananchi tuko nyuma yenu kuwalinda.
 
Back
Top Bottom