Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

Zitto bila kumungunya maneno kamlipua PM bse ndo ambaye wana mamlaka kama wabunge kumuwajibisha
Big up Zitto
 
Hoja ya kutokua na imani na serikali yatolewa bungeni na mw/kiyi wa kamati ya mahesabu za mashirika ya umma...kuanzia kesho asubuhi kamati kukusanya saini za wabunge wanaounga mkono hoja ya kutokuwa na imani na serikali. Na ikifanikiwa kupata saini 70 za wabunge jumatatu wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na serikali... mungu saidia hili liwezekane
 
Wakuu salute!

Jioni hii bungeni Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ukaguzi wa hesabu za serikali katika Mashirika ya umma Mh. Kabwe Zito ametangaza nia ya kukusanya sahihi 70 za wabunge kuanzia kesho asb ili kupeleka hoja bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo jumatatu!

Nawasilisha
 
Akapalilie tu mahindi yake. Sijawahi kuona kiongozi dhaifu kama huyu
 
Wabunge wanatakiwa kugonga sign zao mlangoni za kutokua ma imani na waziri mkuu, PINDA LAZMA APIGWE CHINI
 
inabidi 2015 cdm tupate wabunge hata mia hivi ili haya mambo ya kura ya kutokua na imani na waziri mkuu tupige kura wenyewe tu...magamba wazushi sana.
 
Pm naye amezidi usanii, kila akiulizwa maswali huwa anajidai anajibu kwa kujiamini lakini hamna lolote analofuatilia.
 
Wabunge 70 wanatakiwa kugonga sign zao mlangoni za kutokua ma imani na waziri mkuu, PINDA LAZMA APIGWE CHINI
 
Signature 70 tu zinahitajika kumfuta Waziri mkuu
mkuu sio kumfuta bali ni kuleta hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.kama zaidi ya nusu ya wabunge wataridhia hapo ndipo tutazungumzia kumfuta.
 
pinda hajalia kweli? maana huyo kwa kulialia ni balaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakati akihitimisha hoja yake kijana Zitto amewaomba wabunge 70 tu wasaini ili wamtimue mzee Pinda.
Sasa tutaona hawa magamba km watasaini au wataendelea na mtindo wao wa kupiga kelele.
 
Hamna unafiki ndani ya zitto? Simwamini kabisa huyu jamaa. I see that this is lowasa like style though in different way.
 
zito: kesho tunasimama mlangoni na tunataka kula sabin tu!70 tu!70 tu za wabunge na mawazir sasa Ni zamu yao Kuachia madaraka aau kumuweka pinda rehani??!!

my take! Teh teh teh speechles
T
 
Back
Top Bottom