Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

Sijawahi kuona jibu la moja kwa moja toka kwa Pinda zaidi ya kuzunguka zunguka tu; apigwe chini
 
Kuanzia kesho, Zito kasema wanakusanya sahihi 70 tu ili wawasilishe bungeni hija ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Zito aomba wabunge waweke sahihi ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.

Wanahitaji sahihi 70 tu.

Sahihi hizo zitakusanywa kuanzia kesho hadi jumatatu.

duh, Pinda sijui hali yake ikoje sasa.

Bora ifanyike. Moods unganisheni za pinda na joto la bungeni thread ni nyingi
 
Zitto afanya kweli,aendesha kampen ya kumtosa pinda,hakika zitto ww ni shujaa wangu wa leo..sain 70 tuu tunapata,ama za mkullo au pinda
 
Kwa hili Zitto amejijengea heshima. Ila azimio lake litakosa support laba wale wake wa magamba wawaunge mkono
 
Kura 48 tayari zipo, tatizo ni hizo kura 22 sasa! Sasa ndio umuhimu wa kuwa na umoja kwenye kambi ya upinzani kwan ukichukua idadi ya wabunge wa CUF, NCCR, TLP na UDP hili suala lingekuwa rahisi sana.

Mimi natoa wito kwa wabunge wote wanaosimamia maslahi ya UMMA waunge mkono HOJA
Nail 'em Up
 
Back
Top Bottom