Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGIbora wamtoe UWEZO WAKE NI MDOGO SANA
Kama sio pombe,basi una malaria! Pole sana
 
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI

bora wamtoe UWEZO WAKE NI MDOGO SANA

CCM kumetanda giza totoro.Kweli mtu mwenye akili timamu anamchagua mhasibu kuwa kuwa Speaker.Kazi kweli kweli.
 
umemwaga ugali bila maelezo ya kutosha nami namwaga mboga..........UWEZO WA MBOWE KUONGOZA CHADEMA NI MDOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAZEE WA CHADEMA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI

kama avatar yako nawe akili yako ni fofofo
 
Sidhani, kazi ambayo magamba walipenda aifanye ndio anafanta kwa makini mkubwa then wamtoe.
 
Habari imekaa kimipasho flan hivi !!
Hatahivyo wanasema ni zamu ya wanawake sasaivi,nao wanaweza wakiwezeshwa
na magamba jamani
 
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI

bora wamtoe UWEZO WAKE NI MDOGO SANA

Hii habari ilitakiwa kuwa kwenye jukwaa la umbeya-gossip
 
Anafanya kazi kutimiza malengo ya chama chake Bungeni kuwadhibiti wapizani. Ni Iron Lady Kishoka .Sitegemei waondoe mtu anayewapa usingizi.Watakua wanachezea shillingi maliwatoni.
 
Hivi source yako inaweza ikawa reliable kweli? Yanayofanywa si kwabahati mbaya hata kidogo, sasaukisema ataondolewa, is something contradicting.
 
Salaam kutoka Dodoma,

Spika Anne Makinda ameonesha kupwaa sana na kutomudu nafasi yake tangu apate cheo hicho.
Wabunge wengi, wa CCM na wa upinzani, wanalalamika kuwa Spika huyo ameshindwa kuliendesha Bunge kwa ufanisi.
Baadhi ya tabia zinazowakera wabunge ni Spika huyo kuwa "mnoko" mno na kukosa uungwana kwenye matamshi yake na amekuwa akiwasema wabunge kama watoto wadogo.

Hata maofisa wa Bunge wanasema kuwa Makinda hafai kabisa kuongoza Bunge na ni mtu ambaye hashauriki kwenye uongozi wake.
Makinda anaelekea kukosa support ya wabunge wengi na huenda wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye.
Wabunge wanamlaumu Makinda kwa kuwadhalilisha hadharani kwa kuwakemea kama watoto, kuwanyima uhuru wa kujadili masuala nyeti na kuipendelea/kuilinda sana serikali kwenye maamuzi yake yote hivyo kuling'oa meno Bunge na kulifanya lirudi kuwa "rubber stamp" ya maamuzi ya serikali.

Hili suala linaweza kupelekwa kwenye caucus ya CCM ili ikubaliwe kuwa Makinda ang'oke na nafasi yake ichukuliwe na mbunge mwingine wa CCM, kwa mujibu wa minong'ono ya wabunge wa chama tawala. Inaonekana kuwa wabunge wengi wanakosa uvumilivu wa kungoja mpaka mwaka 2015 ili amalize muda wake. Ni hakika kuwa kama Makinda akifika mwaka 2015, basi hana nafasi tena ya kurudi kama spika kutokana na kuvurunda sana kwenye nafasi hiyo.

"Makinda anawatreat Wabunge kama watoto wadogo. Ni kama mama wa nyumbani anayewaburuza watoto na kuwafokea kila mara wakae kimya, wasitoke nje, waongee kwa ufupi, wasihoji mambo, n.k," alisikika akisema Mbunge mmoja wa CCM.

"Wabunge wengi wa CCM wamefurahia uamuzi wa Tundu Lissu wa CHADEMA kumshitaki Makinda kwenye kamati ya uongozi wa Bunge kwa maamuzi yake ya kupendelea. Kwa kweli tunamkumbuka sana Samuel Sitta kwa viwango alivyoweka alipokuwa Spika."
 
Naona ugumu wabunge wa ccm KUKUBALIANA kumng'oa huyu mama!...Kwa mazingira ya ushabiki ni vigumu!
 
Hawataweza, Chama kitawaita kisha wakirudi hapo kila mtu kimya
 
Back
Top Bottom