Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

wao Magamba wanamuona anafanya kazi zao kama wanavyotaka, kwani ni wao walomweka hapo
 
Kwani kuna shida kuwa mchaga au mkenya?au jf haifiki marangu na pande za nai?
 
Labda aombe kujiuzulu kutokana na kuzidiwa na kazi lakini kuondolewa itakuwa ngumu kwa sababu hatuna hiyo desturi sisi wanamagamba.
 
kisosi pls, sorry source pls ila huwa hata rumours zinaishia kuwa kweli lakini sio kwa CCm maana wakimuondoa ni fedheha kwao, haiwezekani labda kama wana agenda ya kuimaliza na kuizika kabisa thithiem yao
 
simpendi Anna makinda. haswa anapojiona yeye anaharaka muda wote kila saa uliza swali kwa kifupi au jibu kwa kifupi. kubwa zaidi ni kutowatendea wabunge wa CHADEMA haki mimi simpendi kabisa ipo siku historia itakuja kumhukumu
 
..Bunge hili lilistahili kuongozwa na mwananchi asiyefungamana na vyama vya siasa.

..Spika Makinda pamoja na Naibu wake Ndugai wameonyesha kabisa wanasumbuliwa na ushabiki wa chama chao.

..kuna kipindi Mama Makinda alisema "..kuna wabunge wanafikiri wanajua kila kitu..." sasa Spika akiwa na mtizamo huo dhidi ya baadhi ya wabunge definetely atashindwa kuiongoza taasisi hiyo.
 
Makinda anasaidia kuonyesha taswira ya uongozi wa juu wa tanzania huko nje.
Ndugai anaonyesha kiburi cha kufundishwa bila kuongeza akili zako kwa busara!
 
CCM wamtoe? Tatizo watu hamjui kuwa Makinda is doing exactly what she is supposed to do. Walimuweka wakijua ataliendesha BUnge hivi. Kwetu sisi ndiyo tunaona anachemsha ila kwa waliomuweka performance yake inaridhisha sana.
 
Ni wakati muafaka CCM wakubali kazi ya uspika wameshindwa na ili kuleta Bunge imara linalojadili utendaji wa serikali na kutunga sheria nzuri basi ipo haja ya Spika atokane na chama cha upinzani ambacho ni makini na hivyo Spika atoke CHADEMA.
 
Back
Top Bottom