Wabunge kumng'oa Spika Anne Makinda?

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI

bora wamtoe UWEZO WAKE NI MDOGO SANA
 
ccm sio wajinga kiasi hicho mpaka wamtoe mtu anatewalinda na kuwatetea na kusimamia maslahi yao. THAT'S HEAR SAY.
 
Hawawezi mtoa kwani aliweka kwa kazi hiyo hiyo ya kuwalinda, kama kweli walimuita basi ni kwenda kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuwadhibiti kina Lissu
 
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI

bora wamtoe UWEZO WAKE NI MDOGO SANA

Mkuu mbona unaongea kama jamaa za Magamba chama makini tunaongea kwa ushahidi!
 
WOTE MMEZUNGUMZA VIZURI ILA TIME WILL TELL,MAGAMBA HAWANA RAFIKI WA KUDUMU WALA ADUI WA KUDUMU WAO WANAANGALIA ngawira
 
Hamna lolote la ukweli hapa hata kama lisemwalo lipo. Hwatathubutu kumtoa yule ambaye ni submissive kwao.
 
Mkuu CCM hii ya JK haina nia hiyo hata kidogo,kwanza JK yeye anapenda sana kukomaa na yale wapinzani wanayopigia chapuo... hapendi kuonekana ameshindwa.
 
Ngoja tushughulike kwanza na tatizo la umeme hapa AR then will be back soon!!!!!!!!!!!
 
umemwaga ugali bila maelezo ya kutosha nami namwaga mboga..........UWEZO WA MBOWE KUONGOZA CHADEMA NI MDOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAZEE WA CHADEMA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO NYINGI
 
Magamba hawana ubunifu hata hiki msela umekopi na kuedit....magamba lol
 
We wasema, maana hiyo source ndo iliyomweka, kosa lake ni lipi kwao, maana aliyekuwa akiwakera ndo huyo walimnyang'anya kijiti asikimbie tena ,wapi na wapi wamtoe waliyempa kijiti cha kukimbia
 
Sijuhi kama hii habari ni ya ukweli,

Samweli sita Kama Mourinho, maana kila kocha anayekuja kuchukua nafasi ya The special one anaishia kupigwa chini

Mama kashindwa kabisa kuvaa viatu vya sita, hapa ndipo namkumbuka Bob na kibao chake murua cha Who the cap fit
 
Back
Top Bottom