Wabunge kuhudhuria msiba wa Regia Mtema ni haki kupewa per diem???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Kama itakuwa kweli watakuwa awatutendei haki jamani
kuna mtu yuko karibu na mh mmoja anasema jamaa wamelambishwa toka jana kadhaa
kwa wanaokaa mpaka kesho na kiasi kadhaa kwa walioenda leo na kurudi jamani kama ni kweli
loh mama spika embu liangalie vizuri usije wakati wa safari yako ya mwisho watu wakakuwekea
na tarumbeta kwenye box utahisi wanakupenda kumbe wanafurahia kwa kuondoka duniani
kutokana na uchafu ulioukubali

mungu ibariki tanzania wape moyo wa uvumilivu familia ya marehemu
 
Usikumwema hata wewe ndungai unaenisoma hapasio nawafwatafwata la hasha mnatia kinyaa jamani
loh sema kwa nini jana nimesikia majina zaidi ya mianahamsini mnaenda morogoro ati spika kateua nkasema goodjob sasa mmh watu wakuliza sana sana list yoote ya nini kumbe kulindana kwenye diem na kama uamini mwangalie mtemvu kwenye picha yaani kama anasema aaahh yanaisha saa ngapi haya mazisishi huku anacheka
wabunge wa tanzania amuna adabu kabisa
 
Kama ni kweli alaaniwe aliyetoa na aliyepokea, yaani hata kwenda msibani perdiem? Aibu wabunge wetu tuhurumieni watanzania, kule hospitalini hakuna dawa na vifaa kwani wanatuambia hakuna Pesa. Oneni Aibu!!!
 
Naamini mwandishi alifikili ni siku ya wajinga alipokuwa anaandika hii sredi. Kwa wabunge wa tz nnavyowajua walivyo na uchungu na ukizingatia hali ya uchumi ya nchi kuwa taabani mpaka kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wakr, kamwe naamini kutoka moyoni mwangu kuwa hawawezi kufanya hivyo. Ondoa hii joke jamani.
 
Naamini mwandishi alifikili ni siku ya wajinga alipokuwa anaandika hii sredi. Kwa wabunge wa tz nnavyowajua walivyo na uchungu na ukizingatia hali ya uchumi ya nchi kuwa taabani mpaka kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wakr, kamwe naamini kutoka moyoni mwangu kuwa hawawezi kufanya hivyo. Ondoa hii joke jamani.

Mkuu, usipinge sana ila tufanye utafiti kwanza, maana hii tz unaweza kufikili ndiyo kumbe siyo na unaweza fikili siyo kumbe ndiyo. kama ni kweli watakuwa hawajatutendea haki..
 
Pdidy habari hii itakuwa ya kizushi, kwani per diem ya wabunge ni 80,000.00 per day tena hiyo ni kama ni jijini, sasa hiyo 200,000.00 watakuwa wameipataje? Hebu chukulia Dar - Kilosa pana half per diem kutokana na kusafiri more than six hours? Ifakara bado ni wilaya na rate yake ni lazima itakuwa 65,000.00 na siyo 80,000.00.

Fuatilia chanzo chako tena.
 
hatuna wabunge ila tuna wachumia tumbo tu,bora vita ije isambaratishe kila kitu.
 
Jamani! jamani! hao Wabunge na Watumishi wengine waliokwenda ifakara wanastahili per diems vinginevyo wawe wamehudumiwa chakula na malazi. Wana hiari kuzitoa pesa hizo kama rambi rambi kwa familia ya marehemu au kwenye mfuko wa kuendeleza shughuli za Marehemu Regia (kama upo/utakuwepo).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom