Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

Mleta mada hongera sana umefanya utafiti wa maana sana,ila hapa sijamwona mbunge wa ukonga ambapo barabara ni kama mahandaki na raia wake bado wanaipenda ccm.pia wanaofikiri ccm iendelee kuongoza waone hiyo list.
 
Mkuu,
hapo pekundu (namba 20) utakuwa umekosea kuandika. Kwa kumbukumbu zilizo sahihi kabisa toka Jikoni Rorya, Mbunge wao hajawahi kuongea wala kuchangia isipokuwa mara 1 alimwomba mbunge wa Tarime amuulizie swali kwa niaba yake.

Mkuu taarifa kwa mujibu wa wavuti ni sahihi labda technician awe amempendelea tu.
 
Mleta mada hongera sana umefanya utafiti wa maana sana,ila hapa sijamwona mbunge wa ukonga ambapo barabara ni kama mahandaki na raia wake bado wanaipenda ccm.pia wanaofikiri ccm iendelee kuongoza waone hiyo list.

Mkuu huyo Mwaiposwa amejitahidi ana maswali 5, nyongeza 12, michango 15
 
Nimeangalia haraka naona wengi ni wazanzibar na viti maalumu!!Jamani wenzenu wazenji wanavuta tu posho lakini Tanganyika yenu hawana mpango nayo.Utawaona wanatawala bunge kwenye siku Bajeti ya wizara ya mambo ya muungano inapozungumzwa.Kuhusu Viti maalumu sitaki hata kuwataja maana mpaka sasa sijui tofauti na kupiga vigeregere bungeni kazi yao nyingine ni ipi!!
 
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
NaJina la MbungeChamaMaswali aliyoulizaNyongeza ya MaswaliMichango aliyotoa
1ABEID ALI BAHATICCM005
2ABDALLAH MARGARETH ANNACCM008
3AYOUB HASHIM JAKUCCM110
4CHAMBIRI WEREMA KISYERICCM004
5HAMAD OTHMAN ASSACUF007
6HASSAN BUKHELI SHAWANACCM003
7ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINECCM008
8KAPUYA ATHUMAN JUMACCM001
9KHAMIS ALI KHERICCM000
10KHATIB SEIF MUHAMMADCCM000
11KOMU MAULID VALERIANACHADEMA001
12EDWARD NGOYAI LOWASSACCM001
13SHIBUDA JOHN MAGALECHADEMA008
14ZAKIA MEGHJICCM005
15MUSSA HASSAN MUSSACCM004
16ABDULLA JUMA ABDULLACCM004
17SAID SULEMAN SAIDCUF004
18SAID KASSIM MWANAKHAMISCCM000
19
20
SEIF IDDI ALI
LAMECK AYIRO
CCM
CCM
0
1
0
0
0
2

Asanteni wakuu

hivi hakuna data za walioongoza kugonga meza na kuzomea? nadhani ndo hawa
 
Hongera kwa kazi nzuri mkuu.

wengi wa wabunge hao hawana uwezo wa kujenga hoja. wamefika hapo kwa sababu ya fedha zao. Mmoja ya wabunge walishinda kwa sababu ya fedha ni Chambiri Kisyeri werema mbunge wa Babati Vijijini; baada ya kukataliwa Tarime akagombea Babati(V) ambako alikuwa akifanya kazi ya kutengeneza babara za vijijini. Ninawashangaa sana watu wa Babati kumchagua kilaza ambaye si mkaazi wa Babati.
 
Hivi mkuu Narubongo yule mbunge wa Rorya Mh. Ayiro amewahi kunena ama kuandika chochote akiwa ndani ya Bunge lao Tukufu?

Amekwishafanya makubwa kwa wanarorya na bado anaendelea kufanya miujiza jimboni ndio maana huwa haonekani sana bungeni, michango yake inaonekana kwa vitendo jimboni...Lameck si mtu wa maneno bungeni, yeye ni mtu wa vitendo Rorya. Ni rahisi zaidi kuyatatua matatizo ya Rorya ukiwa mwanza kuliko dodoma, Lameck ameliona hili
 
Last edited by a moderator:
Hao wa CHADEMA naomba kamanda Mbowe kama kiongozi wao wakiwa bungeni awasaidie watoke kwenye hili kundi.
 
Kwa maoni ya Narubongo ina maana hakuna maana ya kuhudhuria bungeni?Itoshe kusema kila mbunge akae huko huko jimboni kwake na wanachi wake.
 
Kimbunga majibu yapo hapo #49

Mkuu Narubongo majibu kwamba aliomba auliziwe swali na jirani yake Nyangwine? Hajawahi kusikika Bungeni akinena neno hata moja mkuu. Huyo ndiye LaKairo. Nikiwa Mwanza huwa napenda kulala pale kwake na kula samaki wakubwa wakiwa kwenye sahani kubwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom