Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

By mtotowamjini kuna wengine hawachangii bungeni lakini wanafanya kazi kwenye majimbo yao mfano lowasa..huyu yeye hapigi porojo bungeni kwa sababu ana ajenda zake zingine lakini ni mchapa kazi kwenye jimbo lake. Hamna haja ya kua unauliza maswali kila kukicha lakini hakuna maendeleo kwenye jimbo lako
By Ibra Mo

Inaonekana hujui kazi ya Mbunge ni nini na ndomana Mnahongwa tisheti na chumvi...Wananchi wa Monduli ni masikini wakutupwa huku wakikabiliwa na tatizo kubwa la maji afu hatumsikii mbunge wao akiwasemea matatizo yao Bungeni we unatuambia anafanya kazi jimboni,Wananchi wanalipa kodi serikalini ili hiyo kodi iwahudumie na sio kusubiri fadhila ya ela chafu za mbunge.
Tumkumbushe ya Rostam Aziz.Hakuwa anauliza swali na pia alikuwa anatamba jimboni kwake hakuna shida ni paradise ndogo.Ukweli ulijidhihirisha alipoachia usukani.Yote yakawa hadharani
 
Mh mbona wa jimbo langu cijawahi kumuona au kucikia akichangia hata ciku moja..? Anaitwa Zuberi Mtemvu a.k.a Mlopelo wa Temeke.. Niliwahi kumuona 2 wakati wa mgogoro wa magufuli na wakazi wa kigamboni.. Hebu niangalizie na huyo..
 
Inaonekana hujui kazi ya Mbunge ni nini na ndomana Mnahongwa tisheti na chumvi...Wananchi wa Monduli ni masikini wakutupwa huku wakikabiliwa na tatizo kubwa la maji afu hatumsikii mbunge wao akiwasemea matatizo yao Bungeni we unatuambia anafanya kazi jimboni,Wananchi wanalipa kodi serikalini ili hiyo kodi iwahudumie na sio kusubiri fadhila ya ela chafu za mbunge.

serikali ya sasa utaongea utalalamika mpaka kesho lakini hawatafanya chochote ndio maana wengine wameona hamna haja ya kulalamika. Hao wanaolalamika kila siku wameshasaidiwa kitu gani? na bajeti ya mwaka ndio kabisa tusahau kuhusu mipango ya maendeleo kwa sababu hakuna hela
 
chadema wawili tu kati ya wote hao, nao hao ni mashushushu wa ccm....sitaki kutaja la dini, kwasababu wakristo hapo wamekuwa wanne tu kati ya 19....kichekesho.

acha udini wewe! Upuuzi huo.
 
Mh mbona wa jimbo langu cijawahi kumuona au kucikia akichangia hata ciku moja..? Anaitwa Zuberi Mtemvu a.k.a Mlopelo wa Temeke.. Niliwahi kumuona 2 wakati wa mgogoro wa magufuli na wakazi wa kigamboni.. Hebu niangalizie na huyo..

Kajitahidi huyo ana maswali 4,nyongeza 4,michango 6.
 
Mkuu ongeza na hii.

20 Mwanamrisho Abama

21 Raya Ibrahim

22 Naomi Kaihula

23 Christina Lissu

24 Leticia Mageni

25 Conjesta Leos

26 Rose Kamili

27 Highness Kiwia

28 Israel Natse

29 Mustafa Boay

30 Prof Kulikoyela

Hongera kwa kuaminishwa CCM kama dogma (bila kuuliza swali au logic). Kuna wakati unatakiwa kukataa mambo ya CCM hata kama ni mwanzilishi wake. Kwa nini utetea mbunge ambaye hana mchango kwa wapiga kura wake na nchi yake?
 
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
NaJina la MbungeChamaMaswali aliyoulizaNyongeza ya MaswaliMichango aliyotoa
1ABEID ALI BAHATICCM005
2ABDALLAH MARGARETH ANNACCM008
3AYOUB HASHIM JAKUCCM110
4CHAMBIRI WEREMA KISYERICCM004
5HAMAD OTHMAN ASSACUF007
6HASSAN BUKHELI SHAWANACCM003
7ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINECCM008
8KAPUYA ATHUMAN JUMACCM001
9KHAMIS ALI KHERICCM000
10KHATIB SEIF MUHAMMADCCM000
11KOMU MAULID VALERIANACHADEMA001
12EDWARD NGOYAI LOWASSACCM001
13SHIBUDA JOHN MAGALECHADEMA008
14ZAKIA MEGHJICCM005
15MUSSA HASSAN MUSSACCM004
16ABDULLA JUMA ABDULLACCM004
17SAID SULEMAN SAIDCUF004
18SAID KASSIM MWANAKHAMISCCM000
19
20
SEIF IDDI ALI
LAMECK AYIRO
CCM
CCM
0
1
0
0
0
2

Asanteni wakuu

Tatizo la hii Ripoti yako ni kuwa Umekopi toka kwa takwimu za Serikali ambazo si za Ukweli hata kidogo

Kuna Wabunge 20 ambao umewakosa hawajachangia hata kidogo

Nakupa Mfano wa Mmoja na Undelee kuwatafuta waliobaki 19
Mohamed Dewji CCM Singida Mjini
 
Mi mbunge wangu ni huyo NO.20,Hapa kazi ipo!
 
Wengine ni mbunge wa Karatu,ukerewe na Wa Viti maalum Mama Kaihula (mamake Craz Gk) wote kutoka Chadema!
 
chadema wawili tu kati ya wote hao, nao hao ni mashushushu wa ccm....sitaki kutaja la dini, kwasababu wakristo hapo wamekuwa wanne tu kati ya 19....kichekesho.

Ninapokuwa kwenye matatizo sana,mambo yanapoenda vibaya,pale ninapokumbuka ku'count my blessings' huwa namshukuru Mungu pia kwa kutonipa akili kama ya kwako...
 
Mimi si muumini sana wa udini wala ukabila.Rafiki yangu anakuwa yeyote yule ninayekubaliana naye kisera.Umeingiza udini ukizani nimewaonea?Sina hilo.
Huyo jamaa na yeye hana nia mbaya... yaani ni aina nyingine na sahihi ya interpretation ya data ulizopost. Kama watu hata kuelezea matatizo yao wanashindwa, unategemea nani awazungumzie?
 
Hivi mkuu Narubongo yule mbunge wa Rorya Mh. Ayiro amewahi kunena ama kuandika chochote akiwa ndani ya Bunge lao Tukufu?

Kimbunga,
Umeniwahi ndugu yangu. Mimi na watu wengi sana, kwani juzi tu nilikuwa napitia forum moja na nikakuta watu wa Rorya wanasema mbunge wao toka aingie bungeni hajawahi kuongea bali kuna swali 1 tu ambalo liliulizwa kwa niaba yake na mbunge Nyambari wa Tarime kuhusu usalama wa wilaya ya Rorya na mpaka wa Kenya. Sasa cha ajabu namwona Lameck Airo kwamba ameuliza maswali na kuchangia.
 
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
Na
Jina la Mbunge
Chama
Maswali aliyouliza
Nyongeza ya Maswali
Michango aliyotoa
1
ABEID ALI BAHATI
CCM
5
2
ABDALLAH MARGARETH ANNA
CCM
8
3
AYOUB HASHIM JAKU
CCM
1
1
4
CHAMBIRI WEREMA KISYERI
CCM
4
5
HAMAD OTHMAN ASSA
CUF
7
6
HASSAN BUKHELI SHAWANA
CCM
3
7
ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINE
CCM
8
8
KAPUYA ATHUMAN JUMA
CCM
1
9
KHAMIS ALI KHERI
CCM
10
KHATIB SEIF MUHAMMAD
CCM
11
KOMU MAULID VALERIANA
CHADEMA
1
12
EDWARD NGOYAI LOWASSA
CCM
1
13
SHIBUDA JOHN MAGALE
CHADEMA
8
14
ZAKIA MEGHJI
CCM
5
15
MUSSA HASSAN MUSSA
CCM
4
16
ABDULLA JUMA ABDULLA
CCM
4
17
SAID SULEMAN SAID
CUF
4
18
SAID KASSIM MWANAKHAMIS
CCM
19
20
SEIF IDDI ALI
LAMECK AYIRO
CCM
CCM
0
1
0
0
0
2

Asanteni wakuu

Mkuu,
hapo pekundu (namba 20) utakuwa umekosea kuandika. Kwa kumbukumbu zilizo sahihi kabisa toka Jikoni Rorya, Mbunge wao hajawahi kuongea wala kuchangia isipokuwa mara 1 alimwomba mbunge wa Tarime amuulizie swali kwa niaba yake.
 
Tatizo la hii Ripoti yako ni kuwa Umekopi toka kwa takwimu za Serikali ambazo si za Ukweli hata kidogo

Kuna Wabunge 20 ambao umewakosa hawajachangia hata kidogo

Nakupa Mfano wa Mmoja na Undelee kuwatafuta waliobaki 19
Mohamed Dewji CCM Singida Mjini

Mkuu lazima kwanza uamini kile kilichoandikwa kwenye wavuti rasmi ya bunge.Huyo Mo unayemtaja ana haya, maswali 6, nyongeza 1, michango 0. Huwezi kumlinganisha Mohamed Seif Khatibu ambaye hana kitu.
 
Back
Top Bottom