Wabunge hawa wa CHADEMA

As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter

kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.

Utumwa wa akili ni mbaya zaidi ya magonjwa yote ya binadamu.

As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter

kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.

Mbowe ana pesa bwana, anauza magari mazee ananunua mapya, hawezi kujisumbua na wapiga kura wake kwa sasa anajiandaa kuwa maarufu nchi nzima ili awazidi akina slaa na zitto.....eti amerudisha gari la serikali! jamaa anadhani watanzania bado watoto wa kuwafanyia usanii kama wa jk na mzee slaa.
Zitto anajihagaisha na propoganda zake za kuzidi kuwafunika wenzake akina slaa na anataka awe rais, ila wapiga kura wake anawakumbuka nimeona juzi akiwa na rais kule jimboni kwake, ingekuwa kwa mbowe asingeena kisa eti ni mpinzani.
Regia simfahamu kabisa hata anatokea jimbo Gani
Lema, makelele mengi na mikwara mbuzi,alituhamasisha vijana wa lushoto chuoni tuandamane,na tukasimamishwa chuo na tunapompigia simu hapokei, hana jipya huko kwao kwani madiwani wameelza anavyokwamisha shughuli za maendelo kwa kutaka umaarufu wa kijinga
Msigwa, huyu ni mchungaji sijui kama alisema uongo wakati wa kampeni huyu nampa muda

[As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.zitto, Mbowe, Regia,Lema ,Msigwa,peter, kwa leo tuanze na hawa objectively. hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge]

Ndg yangu Fringe unanipa wasiwasi kama kweli unajua wajibu wa mbunge kwa jimbo lake na taifa. kama kweli unasikiliza bunge basi hao uliowataja wametimiza bila shaka wajibu wao kwa taifa na kwa majimbo yao. kazi ya mbuge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua na sio vinginevyo. kumekuja utapeli wa wagombea wa ccm kujifanya wao nifadhali wa wanachi. na ndio maana wanapo omba kura wanatoa ahadi za nitajenga... nitatoa hiki. matokeo yake wanaanza kukimbilia posho zisizo na tija. unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo yote ya nchi hii yanapaswa kuletwa na serikali iliyoko madarakana na wabunge kazi yao ni kusimamia serikali na kupelaka kilio cha wananchi kwenye serikali ili serikali iwajibike. Maana walipa kodi wakubwa ni wananchi na wana paswa kupelekewa maendeleo na serikali inayo chuka kodi yao.

Nitashangaaa kama huaona mchango wa uliowataja.

Swali lingekuwa '' Nini jk, Pinda na serikali yao wamewataendea watanzania? kwa kuwa amekusanya kodi za wananchi na bado wanawatapeli maendeleo.

Naona umetumwa na hao wanao jivuia gamba hivi huna cha maana cha kuongea hata uwaonei huruma watu wa nyamongo na sehemu nyingione ya nchi wanavyo teseka.... unaonekana kizabi zabina huna mpya............!

Kila nikipost Mods wanatoa posts zangu!

Haya ngoja niwasifie Chadema Oooyeeeee!
Dr Slaa, ndio Rais wa Tanzania, haya mmefurahi!! Sirudi tena kwenye Thread yenu ya kibaguzi

Kila nikipost Mods wanatoa posts zangu!Haya ngoja niwasifie Chadema Oooyeeeee!Dr Slaa, ndio Rais wa Tanzania, haya mmefurahi!! Sirudi tena kwenye Thread yenu ya kibaguzi
Wewe huhitajiki kabisa humu hata ukitoweka Mwaka mzima hakuna wakukumiss zaidi yakufurahia kutoweka kwa PUMBA zako humu kwenye forum.

ndugu yangu.siku sema hawa kufanya kitu chochote kama ambavyo sikusema wamefanya chochote,nimeweka mjadala wa wazi,ili watu kuwajadili wabunge hawa kwa utendaji kazi wao na kasi yao katika kutimiza majukuu kwa kuzingatia majukumu yao kikatiba...kuhusu wabunge wa ccm na ufadhili ni mjadala mwingine na unajadilika kabisa,ila kwa leo lets focus on this MPs...
pia naomba tutofautishe uwezo mkubwa wa kuongea na uwezo wa kutenda kazi,mara nyingi vinatuchanganya hasa mtu anapo kua anaweza kujieleza sana tuna sahau kujadili uwezo wa kiutendaji.

Ndg yangu Fringe unanipa wasiwasi kama kweli unajua wajibu wa mbunge kwa jimbo lake na taifa. kama kweli unasikiliza bunge basi hao uliowataja wametimiza bila shaka wajibu wao kwa taifa na kwa majimbo yao. kazi ya mbuge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua na sio vinginevyo. kumekuja utapeli wa wagombea wa ccm kujifanya wao nifadhali wa wanachi. na ndio maana wanapo omba kura wanatoa ahadi za nitajenga... nitatoa hiki. matokeo yake wanaanza kukimbilia posho zisizo na tija. unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo yote ya nchi hii yanapaswa kuletwa na serikali iliyoko madarakana na wabunge kazi yao ni kusimamia serikali na kupelaka kilio cha wananchi kwenye serikali ili serikali iwajibike. Maana walipa kodi wakubwa ni wananchi na wana paswa kupelekewa maendeleo na serikali inayo chuka kodi yao.

Nitashangaaa kama huaona mchango wa uliowataja.

Swali lingekuwa '' Nini jk, Pinda na serikali yao wamewataendea watanzania? kwa kuwa amekusanya kodi za wananchi na bado wanawatapeli maendeleo.[/QUOTE]

ndugu yangu.siku sema hawa kufanya kitu chochote kama ambavyo sikusema wamefanya chochote,nimeweka mjadala wa wazi,ili watu kuwajadili wabunge hawa kwa utendaji kazi wao na kasi yao katika kutimiza majukuu kwa kuzingatia majukumu yao kikatiba...kuhusu wabunge wa ccm na ufadhili ni mjadala mwingine na unajadilika kabisa,ila kwa leo lets focus on this mps...
Pia naomba tutofautishe uwezo mkubwa wa kuongea na uwezo wa kutenda kazi,mara nyingi vinatuchanganya hasa mtu anapo kua anaweza kujieleza sana tuna sahau kujadili uwezo wa kiutendaji.

ndg yangu fringe unanipa wasiwasi kama kweli unajua wajibu wa mbunge kwa jimbo lake na taifa. kama kweli unasikiliza bunge basi hao uliowataja wametimiza bila shaka wajibu wao kwa taifa na kwa majimbo yao. Kazi ya mbuge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua na sio vinginevyo. Kumekuja utapeli wa wagombea wa ccm kujifanya wao nifadhali wa wanachi. Na ndio maana wanapo omba kura wanatoa ahadi za nitajenga... Nitatoa hiki. Matokeo yake wanaanza kukimbilia posho zisizo na tija. Unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo yote ya nchi hii yanapaswa kuletwa na serikali iliyoko madarakana na wabunge kazi yao ni kusimamia serikali na kupelaka kilio cha wananchi kwenye serikali ili serikali iwajibike. Maana walipa kodi wakubwa ni wananchi na wana paswa kupelekewa maendeleo na serikali inayo chuka kodi yao.

Nitashangaaa kama huaona mchango wa uliowataja.

Swali lingekuwa '' nini jk, pinda na serikali yao wamewataendea watanzania? Kwa kuwa amekusanya kodi za wananchi na bado wanawatapeli maendeleo.
[/quote]

Naona umetumwa na hao wanao jivuia gamba hivi huna cha maana cha kuongea hata uwaonei huruma watu wa nyamongo na sehemu nyingione ya nchi wanavyo teseka.... unaonekana kizabi zabina huna mpya............!
ndugu ichawinga, hivi haayo maneno unayatumia kwa sababu umeona sehem yana tumika? webu justify basi kwa nini unahisi nimetumwa? kumtaja zitto,mbowe,lema,msigwa au regia? tuache majungu basi tujikite kwenye hoja zenye mashiko,kila siku tuna kimbia kujadili mambo kwa kisingizio kua "ametumwa" huu ni ugonjwa.
Nyamongo,mwanza,north mara ni mambo ya msingi kama lilivyo hili pia,lakini tofauti yake ni kwamba the former ni matukio while the rest ni agenda za kudumu...sipendi kua mtu wa matukio tukio,sababu kila siku uta acts on behind wakati maafa yamesha tokea.think critically

mkuu paka jimmy, naongezea na hi list
rostam.azizi
capten komba
idd azaani
nyambari nyangwine
kirobto

ao wamefanya mengi tu,,,,,, ata ufisadi ni jambo zuri, lisingekuwa zuri alilofanya bas ata watanzania wenzio wasingewapitisha kwa kishindo majimboni mwao

Thread kama hii kajiunga jf juzi tu,5/7/11 laaaaahh,wewe ndio unatakiwa utujuze hapa jf wabunge wa ccm waolala bungeni na kupinga kila hoja tena za msingi toka upinzani wanawatendea haki watanzania??umetumwa na nape ulete upupu wako hapa janvini inawezekana hujavuliwa magamba kichwani mwako.

vonix,
kwenye red. walio jiunga juzi hawapaswi kuweka threads? JF rules unazijua vizuri na pa1 na ukongwe wako wa toka april? ...uovu wa wabunge wa CCM hau justify uzembe wa cdm..kua argumentive basi,kutoa low hivi napata shaka juu ya ukongwe wako hapa kwa ma great thinkers.
Nimeweka thread ipo open endend kabisa,lakini unavyo jibu as if niwe walaaumu wabunge hawa hawakufanya kitu majimbon na taifa kwa ujumla...
Huu ugonjwa wa kufikiri kila anae toa thread juu ya chadema ametumwa unautoa wapi?...put your mind out of box... be argumentive bro/sis.

vonix...yaah nimejiunga tarehe hiyo,so what? kua argumentive basi.

fuatilia vikao vya bunge vinavyoendelea.yale wafanyayo wakiwa huko bungeni ndio hayo wafanyiayo majimbo yao na taifa kwa ujumla

Kuna baadhi ya watu hapa hawapendi mijadala ya wazi hasa inayo husu watu/issues za chama wanavyo vipenda,hii haiwezi kua sawa hata kidogo, hili ni jukwaa huru lenye mijadala huru pia.
Tupende kujadili hata yale ambayo yanagusa mapenzi ya nafsi zetu. tuongozwe na uzalendo katika mijadala kwa hoja zenye mashiko kuliko matusi na kashfa...
Tuache phobiasis kwa baadhi ya hoja,tu ache ushabiki shabiki usio na tija kwetu wala kwa vizazi vyetu.

Back
Top Bottom