Wabunge hawa wa CHADEMA

Fringe

Senior Member
Jul 5, 2011
178
90
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter

kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
 
We unataka wafanye nn?na kwann unatuuliza sisi?kila mbunge ana ofic na katibu wake nenda kwenye ofc zao utapata kila kitu kuhusu wao acha kujaza saver na utumbo!,magamba bwana cjui mtaelimika lini
 
Ukimkata kenge mkia unampunguza speed.
Umepunguzwa speed? I mean ccm j?
 
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Huyo Regia yeye kila kukicha kiguu na njia kwenye Maandamano yasiokuwa na tija kwa taifa
 
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter

kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.

Umetumia kigezo kuwataja? naona umeingia JF na kizebuzebu kweli
 
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Tafakari kabla ya kuleta thread kama hii jamvini,utafikiri huna ufahamu kabisa.
 
Unataka kujua walichofanya wapi' bungeni au kwenye majimbo yao? Kama ni bungeni na Nchi kwa ujumla ulipaswa ujue kwakuwafuatilia wanachoongea na kutenda siyo kuiuliza JF,Kama ni kwenye majimbo yao waulize directly wananchi wao siyo sis tuanze kujadi au kama vyp omba namba ya makatibu wao uwaulize.!
 
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?. zittoMboweRegiaLemaMsigwa,peterkwa leo tuanze na hawa objectively.hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
K.u.s.o.domaiziwa bwana, kuna haribu akili! Ona ulivyo sasa!
 
Unataka kujua walichofanya wapi' bungeni au kwenye majimbo yao? Kama ni bungeni na Nchi kwa ujumla ulipaswa ujue kwakuwafuatilia wanachoongea na kutenda siyo kuiuliza JF,Kama ni kwenye majimbo yao waulize directly wananchi wao siyo sis tuanze kujadi au kama vyp omba namba ya makatibu wao uwaulize.!
Ninaamini JF ina member wengi sana tena toka kila sehem ya Tanzania,so still its wise kuuliza kupitia forum hii,lakini pia ni nimeuliiza tija zao kitaifa kitu ambacho kinajadiliwa na kila mtanzania pasipo kujali anatoka jimbo gani... makatibu; kuepusha biasses, ktk hili siwezi kuwaauliza.
 
ndugu mzizi wa mbuyu.unadhani kashfa na matusi yana tija gani katika hoja zako? be smart ndugu unapo hit keyboard yako
 
  • Thanks
Reactions: PAS
Tuwaulize wale wanaolala bungeni wakiamka ni kuunga hoja 100% na kugonga meza kama wehu,au wale wa magamba viti maalum kazi yao vigelegele wamefanyia nn taifa?
ndugu mtemiwao; ni hoja safi na inajadilika, ila me kwa leo nimeamua kuanza na hii wapo watakao weka hiyo post na tutaijadili pia..tujikite kwenye mjadala
 
Mkuu paka jimmy, naongezea na hi list
Rostam.Azizi
capten komba
idd azaani
nyambari nyangwine
kirobto
 
Umetumia kigezo kuwataja? naona umeingia JF na kizebuzebu kweli
kigezo nilicho tumia wote 1. wabunge,2.wana toka chadema,3.jinsia 4.mikoa 5.ni maarufu,so wana julikana kwa watu wengi...
kizebuzebu maana yake nini miss parliement?
nimeona ume like kwa paka jimmy alipo wataja JK,Nappe,tyson,mwanjela, sijui kwa nini umeupenda mjadala wa hawa kuliko walipo kwenye thread. napenda kuhoja vigezo pia vya inclusion na exclusion.
 
dada huyo ni mzoefu tu, inawezekana ni ID nyingine. kazi za vijana wa nape.
hebu justify,tusiwe narrowed mind,hivi ina hitajika kutumwa na Nape kuwajadili wabunge wa chadema? so tuna po jadili wa bunge wa chama cha Nape hua tumetumwa kumbe eehh?sikujua. Wa tz tubadilike hivi tumelogwa na nani? why can we free our mind out of box? sio kila mtu anapo tofautiana na wewe lazima awe ametumwa acha kukurupuka mkuu
 
Back
Top Bottom