Wabunge hawa wa CHADEMA: Highnes Kiwia na Salvatory Machemuli.

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Walichalangwa mapanga usiku wa kuamukia 01-04-2012 ambayo ilikuwa siku ya kupiga kura kumchagua diwani kwenye uchaguzi mdogo kata ya Kirumba jijini Mwanza.

Kwa mara ya mwisho walionyeshwa na vituo kadhaa vya Television hapa nchini wakishushwa kwenye machela pale Muhimbili Hospital kwa ajili ya matibabu zaidi wakitokea Mwanza.

Ni muda sasa habari zao hazijasikika na wote wawili hawakuonekana kwenye kikao cha bunge kilichomalizika hivi majuzi.

Wako wapi makamanda hawa na wanaendeleaje??

Naomba mwenye taarifa atujuze. tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom