@Joka
Mtizamo wangu kuhusu hotuba ya kambi ya upinzani ni kuwa Tundu lissu alikuwa na "Hoja Nzuri sana" hasa kuhusu muungano na nafasi ya rais katika mchakato bravo..
Lakini kosa alilofanya (tena kwa makusudi au kwa kuhongwa (tetesi za ndani) na waccm) ni kukataa kusimamia hiyo hoja na kujipanga kupambana na wabunge wa ccm kwenye session hatimaye kupata fursa ya kufanyika amendments..etc
Yeye ametumbukia pale ambapo ccm wanapapenda (jazba) sasa wanapitisha na mtu kama mimi na wengine tungependa kujua mtizamo mbadala katika mjadala maana mjadala unafanya clarification nyingi kuliko hotuba iliyoandikwa...
Ukweli wa mambo ni kwamba we have missed the opportunity to argue rather tumepata jazba, hulka ya uongozi mbovu..katika kambi ya upinzani...huo ndio mtazamo wangu..