Wabunge chadema ikamateni dodoma

MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
277
Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe ext. na maeneo mengi ya mji huu...,rai yangu wabunge vijana ndani ya cdm wajipe zoezi rasmi la kuikomboa dodoma kwa kufanya mikutano mingi ya uhamasishaji..,ili kesho maandamano ya umma yawe yanapitia makao makuu ya ccm na kupeleka salaam za umma bungeni.. na hii itakuwa WATAKAPOWAZOMEA MJENGONI NASI TUNAWAZOMEA URAIANI..kwani siku zote wako kwa maslahi yao na si ya tafa..
 
Dom ni makao makuu ya CCM na serikali.Nyinyi na mapepe yenu mtokomea huko ugaibuni kigoma

Hahahaaa. Sometimes mtu unakuwa na haja kubwa lakini unajisikia kama haja ndogo vile...
 
Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe ext. na maeneo mengi ya mji huu...,rai yangu wabunge vijana ndani ya cdm wajipe zoezi rasmi la kuikomboa dodoma kwa kufanya mikutano mingi ya uhamasishaji..,ili kesho maandamano ya umma yawe yanapitia makao makuu ya ccm na kupeleka salaam za umma bungeni.. na hii itakuwa WATAKAPOWAZOMEA MJENGONI NASI TUNAWAZOMEA URAIANI..kwani siku zote wako kwa maslahi yao na si ya tafa..
can you re-write it. Haieleweki mkuu.
 
Dom ni makao makuu ya CCM na serikali.Nyinyi na mapepe yenu mtokomea huko ugaibuni kigoma

Dodoma inahitaji sana mabadiliko pengine kuliko mikoa mingi tu tanzania, achia maendeleo ya kifikra yaingie dodoma watu wako nyuma sana hapa kuliko unavyofikiri
 
Dodoma na magamba na serikali havitengani kabisa ndo mana hakuna maendele,elimu iko nyuma sana na umasikini unaongezeka kila siku.cdm ikichukua japo jimbo moja liwe mfano dodoma itabadilika.tuombe mungu siku moja itokee.
 
Dodoma imekuwa ni ngome ya 'magamba' kwa muda mrefu sasa hivyo kuendeleza madudu mengi ktk mji wetu eg,malalamiko dhidi ya cda, ujenzi wa kusua sua wa barabara,miradi tata ya umeme ktk chang'ombe ext. na maeneo mengi ya mji huu...,rai yangu wabunge vijana ndani ya cdm wajipe zoezi rasmi la kuikomboa dodoma kwa kufanya mikutano mingi ya uhamasishaji..,ili kesho maandamano ya umma yawe yanapitia makao makuu ya ccm na kupeleka salaam za umma bungeni.. na hii itakuwa WATAKAPOWAZOMEA MJENGONI NASI TUNAWAZOMEA URAIANI..kwani siku zote wako kwa maslahi yao na si ya tafa..

Tatizo lenu haya maneno mnayaongea hapa.ikifika kipindi cha kampeni unakuta mumevalia kofia za ccm na tshirt za njano.mukiulizwa kwa nini eti ccm imetutoa mbali...!nikiangalia bado mpo palepale..!!upuuzi mtupu.hizi harakati anzia kwenye familia yako na ndugu zako.bila shaka mtafanikiiwa.nawatakia kilala heri Dodoma.halafu muache ile tabia ya kuwachangia formza uchaguzi viongozi wa ccm.mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom