Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

Labda inawezekana ikawa ni nguvu ya makundi inafanya kazi. Taarifa hizi si kuzipuuzia kabisa.
changa la macho hilo....hivi habari sio za ukweli ni uzushi. wabunge wa CCM hawajawa na ujasiri mkubwa kiasi cha kumchambua rais
 
Aaah kumbe habari za makanjanja. Nilifikiria umetoa kutoka chanzo cha kuaminika.

Aah Kummbe ni ww mgonjwa wa akili! Nilifikiri ni sensible person ameandika ujinga huu, lkn baada ya kuona ni ww, basi nikasamehe kwani ugonjwa wako hauna tiba.
 
Aah Kummbe ni ww mgonjwa wa akili! Nilifikiri ni sensible person ameandika ujinga huu, lkn baada ya kuona ni ww, basi nikasamehe kwani ugonjwa wako hauna tiba.

msamehe tu mama FF kwani upo uwezekano nae hajui alitendalo
 
Rais kikwete amegundua kwamba wabunge wa chama chake ni wachumia tumbo na wababaishaji,hivyo ameona heri afanye jambo ambalo angalau watanzania watamkumbuka.
Sio siri Jk umetuondolea aibu ya hawa wabunge wa ccm na usirudi nyuma fanya ambacho watanzania wote wanakutegemea
 
Mbunge wa ccm kumshambulia mwenyekiti wao nadra sana kitu kama hicho kutokea
 
kuna rais fulani wa malawi,anaye juwa jina lake anisaidie tafadhali, alifanya kitu ambacho kikwete aweza kufanya sasa na akaandika historia mpya tanzania. kuachana na ccm,kuanzisha chama chake na yeye kugombea urais na atashinda. Nafikiri hivi sababu inaonekana kikwete si fisadi na hapendi ufisadi,pia anapenda demokrasia ya kweli, tatizo anazidiwa nguvu na magamba ambayo yamejaa ccm kila kona, hana uhuru katika uendeshaji wa nchi.

Aanzishe chama chake aachane na hao wabunge maboya ambao wanasaliti hata uwezo wao wa kufikiri.

Ahame hata pale magogoni kwani sasa pamenajisiwa, panastahili kutakaswa na maji ya baraka au maji ya zamzam.

Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom