Impeachment siyo mapinduzi, bali ni utaratibu halali uliowekwa kikatiba wa kumwajibisha rais aliyeshindwa kutekeleza majukumu yake au raisi aliyeiabisha taasisi ya urais. Mbunge akipeleka hoja ya impeachment kwa utaratibu uliowekwa kisheria na ukaungwa mkono kwa idadi inayotosheleza ya wabunge hawezi kuhesabiwa kuwa ametenda kosa. Sasa suala la kuishia jela linatoka wapi.!