Serikali inatakiwa ijikite katika kuhakikisha vipa umbele vinavyotakiwa vinaweza kuwekezwa na wananchi na wenye mitaji, mfano: Kilimo kwanza, serikali inahakikisha inasimamimia vipi pembejeo zipatikane, ipi ni bora, wapi inapatikana na at the same time inatafuta na kuhamasisha wawekezaji katika hizo pembejeo. Tunaona kwa sasa waTanzania wanavyofaidika na kiwanda cha mbolea cha minjingu, lakini wakati kilipokuwa cha umma? Utajaza mwenyewe.
This dude is real myopic! Hakuna nchi yeyote in this planet (earth) iliyoendelea kwa kuwekeza kwenye KILIMO tu bila kuwekeza pia kwenye PROCESSING INDUSTRIES. Haipo nchi kama hiyo (show me at most one) unless labda nchi hiyo iko Mars! Agriculture and processing industries vinakwenda hand to hand (they support each other).
KILIMO KWANZA bila mikakati ya kujenga processing industries is another failured policy. Kilimo hakitafika popote! huhitaji kuwa a neuron surgeon to figure out.