Wewe ndio Jah People, M4C inakuja, kaa tayariLondon vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?
"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".
Miafrika ndivyo Ilivyo - NN
kawaulize wakina riziwani na nyumba zao dubai m4c ikiingia madarakani tutahoji walipata wapi pesa hizo?
Wewe ndio Jah People, M4C inakuja, kaa tayari
Kwani imeanzaa leo? mbona ipo siku nyingi sana? muwadanganye wasiyojuwa maana yake na wapi imeanzia.
Hiyo imeanzia kanisani kuwahimiza waumini waziandae "chenji" na wawe wanakuja nazo kanisani. Si tunaota mnavyotembeza bakuli kwenye hiyo mikutano kuomba chenji. Ushahidi: Be part of the movement for change! Site
Unajuwa sababu kwanini humuoni Zitto, Safari na Arfi kwenye M4C? walishashtuliwa kuwa hiyo ni imetokea kanisani na haina uhusiano na siasa. Na ndio maana mkaipeleka kwenye Wasilaam wengi mbio mbio (kusini) lakini Mwenyeezi Mungu mkubwa, huko ikaangukia pua.
Mkuu sometimes tumia akili kidogo; wewe ni kati ya members wanaoheshimika hapa JF. Please, tumia akili. Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba "Movement for Change" ni issue ya Kanisa? Na hapa Terrorist Organization Profile - START - National Consortium for the Study of Terrorism and Responses to Terrorism utasemaje? Nao ni kanisa au CHADEMA? Please, use common sense.
Wewe usifikiri watu hatujui kinacheondelea, som na hii na kama haikutoshi ntakuletea na nyingine:
2,000 years ago a movement began. This movement started at one ordinary location,
in one ordinary city, through one group of ordinary people, by one extraordinary God.
Today this movement continues all over the world. It is the church and God is using His
church to bring about change-city by city, So, what should this movement of change
look like for us in Tampa?
http://www.aletheiatampa.com/wordpress/outlines/acts2_14.pdf
Na hii:
The road to the right is the road of ultra conservatism that inevitably leads to radicalism, faction and division. The road to the left is the road of liberalism. It leads away from the simplicity of the gospel to a denominational version of Christianity that stands without Christ's approval. It is the approach being promoted by those who are advocating "change" for our churches.
Source: Church of Christ on-line magazine - CHRISTIANITY: THEN & NOW
Kama bado hujaridhika, sema, ntakuongeza nyingone. Mnafanya watu hawaelewei?
London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?
"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".
Miafrika ndivyo Ilivyo - NN
sawa kwenda iringa, ila msiende kwa DEO FILIKUNJOMBE