Wabunge CCM: Dr. Slaa na na Mwesigwa Baregu ni Watata

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
Katika hali isiyo ya kawaida, hofu ya wabunge wa CCM katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya imetokana na kuogopa aina ya wajumbe watakaoingia kwenye tume ambayo Rais ataiunda. Soma sehemu hii: "Hoja nyingine iliyojengwa na wajumbe ni kwamba kama wataruhusu mabadiliko ya Katiba yafanyike, utafika wakati tume atakakayoiunda Rais itakuwa na wajumbe wenye utata kama akina Dk. Slaa (Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Profesa Mwesigwa Baregu. Kwa hiyo lili kuepusha mambo yasiyofaa katika mchakato mzima wa Katiba, lazima waanze kuwa macho kuanzia sasa badala ya kukaa kimya na kusubiri mambo yaharibike."My take: Wabunge wa CCM wanaona ni bora kupambana na Mwenyekiti wao (Rais) kuliko kuruhusu akina Dr. Slaa kwenye mchakato.Source: Mtanzania ya leo Ukurasa wa 2.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, hofu ya wabunge wa CCM katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya imetokana na kuogopa aina ya wajumbe watakaoingia kwenye tume ambayo Rais ataiunda.

Soma sehemu hii: "Hoja nyingine iliyojengwa na wajumbe ni kwamba kama wataruhusu mabadiliko ya Katiba yafanyike, utafika wakati tume atakakayoiunda Rais itakuwa na wajumbe wenye utata kama akina Dk. Slaa (Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Profesa Mwesigwa Baregu. Kwa hiyo lili kuepusha mambo yasiyofaa katika mchakato mzima wa Katiba, lazima waanze kuwa macho kuanzia sasa badala ya kukaa kimya na kusubiri mambo yaharibike."

My take: Wabunge wa CCM wanaona ni bora kupambana na Mwenyekiti wao (Rais) kuliko kuruhusu akina Dr. Slaa kwenye mchakato.

Source: Mtanzania ya leo Ukurasa wa 2.

Wana maana gani katika hili??. Wanataka kuzuia mabadiliko ya katiba?!!!.
Let's see, time will give the last desicion!!!
 
Nakumbushia wale wamiliki wa Apollo huko India waanze kujenga special ward ya JK. Siku si nyingi ataelekea huko. kama si apollo basi ni St. Thomas (ile ya Mwl. Nyerere)
 
Sasa inaelekea kile kifungu kinachokataza wanasiasa kuingia kwenye tume ya kukusanya maoni kinawalenga DR Slaa na Prof Baregu hallo kumbe viongozi wa chama cha msimu wanaogopewa sana na wabunge wa magamba safari hii imekula kwao.
 
Ff una roho mbaya sana na cdm.unafaidika na nini kwa ccm?lazima utakuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya na unaogopa cdm itakutoa roho.
 
Chama tawala ni chama tawala tu. Wao ndio wenye turufu kwa sasa na naomba usiku na mchana isitokee katika uhai wangu nikawaona magwanda wakitawala nchi hii maana watanyanyasa sana watu.

FF Mungu haja lala,naamini kile unachokiomba,kile ulicho nacho moyoni,kwenye fikra zako hakika Mungu atakujalia,naomba Mungu pia akujalie kutokuwepo pindi CMD watakapoishika dola,tena nikudokezee,hakika muda umesalia kidogo sana CDM wataikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni weusi chini ya CCM-Magamba
 
Chama tawala ni chama tawala tu. Wao ndio wenye turufu kwa sasa na naomba usiku na mchana isitokee katika uhai wangu nikawaona magwanda wakitawala nchi hii maana watanyanyasa sana watu.
Wewe ni mtata, kwani ni lini uliomba usiku na mchana ili uzaliwe/
 
Chama tawala ni chama tawala tu. Wao ndio wenye turufu kwa sasa na naomba usiku na mchana isitokee katika uhai wangu nikawaona magwanda wakitawala nchi hii maana watanyanyasa sana watu.

naona unaanza kujisafisha....BIG UP
 
ebo. . . . ! Hiyo katiba ni ya ccm, cdm au tanzania?

Mkuu hata mimi naumizwa sana na mvutano juu uundaji wa katiba mpya pale upande mwingine unapokataa jambo lina manufaa kwa watu wa kada zote,kwa watu hata wasio na vyama,kwa matajiri na masikini,kwa walemavu wa aina zote,kwa wenye elimu za juu na za chini,kwa wakulima na hata wafugaji,kwa wachimba madini na hata machinga,leo kikundi au chama kinapokataa kuingizwa vifungu vinavyonufaisha wote napata picha kuwa kuna chama kinataka kutengeneza katiba yake badala ya katiba ya watanzania.
Bila kutafuna maneno wanaohangaisha katika kuunda katiba mpya ni Magamba ya CCM.na ili kuthibitisha maneno yangu jiandaeni kuangalia marekebisho ya sheria ya uundwaji wa katiba mpya kuanzia week ijayo.
 
Ff una roho mbaya sana na cdm.unafaidika na nini kwa ccm?lazima utakuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya na unaogopa cdm itakutoa roho.


KAKA UMENIWAHI TU NILITAKA NIMWELEZE HAYOHAYO! HUYU Ff NADHANI ATAKUWA FISADI PIA, CHAKULA LA MKUU MAGOGONI AU ANAFAIDIKA NA UNYONYAJI WA MAGAMBA KUWATESA WATU KATIKA INCHI YAO. Ff fahamu kwamba kila kitu kina mwisho!!!
 
Kuna mtu aliwahi kuonya humu kwamba katiba ni ya Watanzania wasio na itikadi ya chama na wenye itikadi na tusipoangalia mchakato utachukuliwa na vyama badala ya kuwa mchakato wa wananchi wote. Watanzania wanaowakilishwa na vyama ni chini ya milioni 10! Umakini unatakiwa kwenye mchakato huu. Nchini Kenya mchakato ulinyakuliwa na vyama vya kijamii na matokeo yake wao ndio wamepata keki kubwa baada ya katiba mpya. Jaji Mkuu na viongozi wengine muhimu wametoka kwenye vyama vya kijamii. Afadhali hiyo kuliko hawa wanasiasa wetu ambao ni wasaka tonge.
 
FF. pole sana mbona pressure itakuondoa siku si nyingi. Unaonekana wewe ni mtu wa mjini mbona miji imeisha kwa hao una waita magwanda. ni utawala gani usiotaka kuona wa Rais tu? Kwa taarifa Hakuna mji utakao bakia kwa Magamba 2015. Na nguvu kubwa ina hamia vijijini elimu ya uraia ina enda kwa kasi. Kizaza cha magamba inafikia kikomo.
 
Chama tawala ni chama tawala tu. Wao ndio wenye turufu kwa sasa na naomba usiku na mchana isitokee katika uhai wangu nikawaona magwanda wakitawala nchi hii maana watanyanyasa sana watu.
Maana hata sasa unanyanyasika sana
 
Kumbe sasa naanza kuelewa kwanini Tanzania ni Maskini mpaka leo. Kama kwa miaka 50 tulikuwa tunaongozwa na watu toka ktk chama chenye mawazo kama haya....
 
Back
Top Bottom