Wabunge ccm bado wapo kwenye kikao, wamekimbia bunge!!!!!!

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
443
344
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!!
Peoples.............................................................................
 
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!!
Peoples.............................................................................

Chadema wameachiwa bunge. Hali mbaya kwa sisiem.
 
Mbowe ndo katoka kuchangia anasema kama wamekimbia basi wapo tayari kuachia ikulu, anahimiza wananchi kufanya regime change
 
Wamuite huyu mpangaji wa magogoni atupe majibu!!

Tunataka atuambie Deni la nje limeongezeka vipi?
Kisha atueleze

Ubadhirifu kwenye magari ya serikali (ununuzi, repairs, mafuta) unaccounted money ni 5 trillion, atueleze zimekwenda wapi!

Tanesco, 600 Billion,
Maliasili 88 billion
Kiwanja kilichouzwa kwa ujanja wa upotevu wa 1.3 trillion,
Mishahara hewa 1.8 billion
Chief Accounting officer 49 billion,

Atuambie zimekwenda wapi!!
Akishindwa basi kichwa chake ni halali yetu!!

Upuuzi tu nchi hii!! tumechoka kuchekewa chekewa kama tunatoa posa hapa!!!
 
Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Slaa upo wapi uende ikulu,afande nani,protokali,nani..wee ndesa..mwamunyange tuma helikopta geita ikamchukua Dr Slaa ale kiapo maana wamekimbia bunge na ****** katorokea brasil..
 
Ila leo ndio inaonyesha mikakati ya magamba kweli imekwisha. yaani bunge tupu serikalini yupo Lukuvi, AG na Mwanri CCM gawapo wapo tu upinzani. Nchi imemshinda JK mawaziri wake hawawajibiki kabissa na hawana uwezo wa kuwajibisha walio chini yao. Juzi hapa nilimsikia katibu mkuu mmoja akisema eti jukumu lao ni kushauri tu. sasa katibu mkuu akishauri tu nani anamamlaka ya kutenda?
Hii hatari tupu

Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha

KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! Kama wanajua kukimbia wakimbie na ikulu
 
Slaa upo wapi uende ikulu,afande nani,protokali,nani..wee ndesa..mwamunyange tuma helikopta geita ikamchukua Dr Slaa ale kiapo maana wamekimbia bunge na ****** katorokea brasil..

retreat is one of the strategies to win a war.
 
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!!
Peoples.............................................................................

CCM wanapaka wanja tu hawana jipya.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom