WABUNGE 9 WAENDA ZIARA YA KIMAFUNZO INDIA ''Right to Information Laws''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kajubi-Mukajanga.jpg


MCT Executive Secretary, Mr Kajubi Mukajanga

Ziara ya mafunzo imefadhiliwa na Media Council of Tanzania (MCT).


Juma Nkamia (Kondoa South – CCM), Rebecca Mngodo (Special Seats-Chadema), Ramadhani Haji Saleh (Bumbwini-CCM), Hussein Mussa Mzee (Jangombe-CCM), Assumpter Nshunju Mshana (Nkenge-CCM), Moza Abeid Saidy (Special Seats-CUF) na Said Mtanda (Mchinga-CCM).

Baraza la wawakilishi ni ; Ali Mzee Ali (CCM-Appointed) na Ismail Jussa Ladhu (Mji Mkongwe-CUF).

"We picked India because it is a developing country, with similar environment as our own.
 
Mh! Wabunge matibabu INDIA Wabunge mafunzo INDIA kulikoni? kuna nini huko India na wabunge wetu.
 
Ni ziara ya mafunzo au kutalii! Hivi Mkamia anaweza kuja na hoja za mabadiliko kwenye Tasnia ya habari pamoja na kwamba naye ni mwanahabari? Kila nikisikiliza michango yake Bungeni na mijadala ys BBC namweka kwenye kundi la wale waliotaka Katiba isitungwe upya!
 
Hao nao kujipendekeza wameona kama bunge letu tukufu haliwezi kufadhiri kozi hiyo
 
Ni kupoteza muda tu sitegemei hawa jamaa kama wanaweza kubadilika hata kidogo!!!!!!
 
mafunzo ya info gani wakti wananchi hatuna maji wala umeme..upumbuv @ best..this country is cursed kwa kuchagua wendaazim watuongoze..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom