Wabunge 20 CCM wamtega Kikwete

hili ni game tusubiri tuone. huenda yakawa ya kweli maana hata kauli za samwel sitta itv zilikuwa na utata kwani aliweka wazi kabisa kuwa anne makinda kawekwa uspika na mafisadi
 
Jambo hili japo laonekana kama vile ni uamuzi mgumu sana lakini matunda yake kwa uongozi wenye heshma mbele ya macho ya umma hakika watu watawaunga mkono hadi kwenye sanduku la kura kutafuta ridhaa upya LKINI wakiwa nje ya CCM.

natamani kuwajua hao wabunge wanaotaka eti kujiondoa sisiem na kujivua ubunge, daaaah!
 
CCM inatakiwa itambulishwe kwa kina Kanumba the Great ili watengeneze movie zao za kibongo vizuri! CCM kila siku na movie mpya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom