Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
"WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA
KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha ameamua kuongeza ukubwa wa matiti yake.
Akipekuliwa na mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Baby alisema amefikia uamuzi huo kwa sababu wanaume huvutiwa zaidi na matiti na makalio makubwa.
"Najua Wabongo wanaweza kushangazwa na uamuzi wangu, lakini ni mambo ya kawaida kabisa kutafuta mvuto wa mahaba kwa wanaume wanaopenda matiti na makalio makubwa. Nimeanza na matiti, baadaye nitakwenda a makalio," alisema.
Alipotakiwa kutaja hospitali aliyofanya upasuaji huo alijibu kwa kifipi: "Ni siri, siwezi kuitaja ila iko Nairobi (Kenya)."