Wabongo wa London kweli mmechoka

Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......
P1060927.JPG

Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......

Huyo ********* nae ni mbongo?
 
alafu wakija bongo utasikia nimetoka kupiga shoo uk nini shoo ilikua na nyomi kibao watu wa nchi mbalimbali yani ilikua full shangwe...mbele watu wananikubali sana...hahahahahahah kumbe ndo hivi...ukumbi umepambwa na maua ya kipaimara pumbaf kabisa
 
yoyo stop hating!! Appreciate...,
Arifu aisee mie tena mtu wa kuhate? kwani si umeona hapo palivyo sikutegemea kama ninavyoiskia majuu.....

kumbe ulinyimwaga viza,pole naona unajipa matumaini kuwa ni kubaya ili usijione ni looser..........london tunakula marahaaaaaa.....baki nalo limekuganda hilo..
Wewe ndio yule aliejipiga mkorogo? natafuta viza nikija msipeleka kwenye miduara kwenye parking
 
Siwapendi jumla si ndo walotudanganya wameandaa maandamano ya kumpinga jamaa. akina mwingereza na hatimae hata jf siwaoni tena.

Hawana ubavu huo,watu wenyewe wanaishi huko kama digidigi,kazi kuuza sura kwenye fesibuku na mibring midosho.
 
Hapana arifu.....kweli viza pale ubalozini nimedunda mara kibao jamaa wananipa mashuti kama ya Hamisi gaga.....lakini mazee mimi najua majuu mnakula happy aisee....full bata bonge la wetha.....mibarafu miksa mabaga na mapizza na soda za kopo za kumwaga....

...
P1060931.JPG

sasa hii picha cheki ukumbi kwanza kama parking ya gari.....ka flati skrini kadoonyo kamoja tu....afu hakuna AC aisee...

Jamaa wa kulia kachapa mwayo balaa, nzi znzweza kuingia kutoka bila issue
 
alafu wakija bongo utasikia nimetoka kupiga shoo uk nini shoo ilikua na nyomi kibao watu wa nchi mbalimbali yani ilikua full shangwe...mbele watu wananikubali sana...hahahahahahah kumbe ndo hivi...ukumbi umepambwa na maua ya kipaimara pumbaf kabisa

Hasa hasira zote hizo za nini wabongo punguzeni chuki zisizo na maana ndio maana watu wanaogopana mpaka hapa jf.
 
Back
Top Bottom