Wabongo wa London kweli mmechoka

kumbe ulinyimwaga viza,pole naona unajipa matumaini kuwa ni kubaya ili usijione ni looser..........london tunakula marahaaaaaa.....baki nalo limekuganda hilo..
 
Yes Maserati and murcielago, and gallardo...

Hii hapa Murcielago...
9-009-lamborghini-murcielago1.jpg
 

...lol...hahahaha, picha ya hii thread ina ujumbe fulani zaidi ya aliouleta Yo Yo,
anyway, acha wavunje mifupa bana...yule dada kule nyuma kwenye spika, mnh!?
 
Siwapendi jumla si ndo walotudanganya wameandaa maandamano ya kumpinga jamaa. akina mwingereza na hatimae hata jf siwaoni tena.
 
Mlitaka aperfom wapi?... Wembley?
Au MSG?... Hapo panatosha, promota hata hela ya nauli hawezi kurudisha.
 
Hapana arifu.....kweli viza pale ubalozini nimedunda mara kibao jamaa wananipa mashuti kama ya Hamisi gaga.....lakini mazee mimi najua majuu mnakula happy aisee....full bata bonge la wetha.....mibarafu miksa mabaga na mapizza na soda za kopo za kumwaga....

...
P1060931.JPG


sasa hii picha cheki ukumbi kwanza kama parking ya gari.....ka flati skrini kadoonyo kamoja tu....afu hakuna AC aisee...

Hivi wakati wa winter kuna haja ya AC?
 
bongo ka mtoni haina haja ya kulilia kwenda huko saka mapene mkuu ujenge shavu liwe nene
 
Back
Top Bottom