Wabongo tutamtukuza mzungu hadi lini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Analogia Malenga, Mar 2, 2012.

 1. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,062
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  Jaman! Mzungu ametuita waafrica third world country, jina hili silipendi ila basi tu. Lakini bado utamkuta sharobaro nchi za ng'ambo anaziita mbele. Mi naona huu ni ujinga hv kama ulaya ndo mbele, nyuma wapi?
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,670
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Nyuma ni Afrika!!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 6,843
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  Mmmmmmh_pole mkuu,,..lakn ndio ukweli ingawa ni unauma...tusali/tunaabudu kikwao,tunaimba kikwao,tunatembea kikwao,tunavaa kikwao,tunaongea kikwao etc...etc...
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Nyuma ni Africa, Asia, etc . baada ya marekani na ulaya. Pendekeza jina basi with reference to economic development. Naona ni jina sahihi. Tupo nafasi ya tatu nyuma kimaendeleo. Unataka waseme mfalme amevaa nguo nzuri wakati yupo uchi!!!
   
 5. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,062
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  kiuchumi wakat mali zenyewe za kwetu,madin na v2 kibao.tujipe heshma tujithamini.mf asia ni second world country bt lini walijiita hivyo?
   

Share This Page