Wabongo na magari ya kifahari-evoque

Kumbe linanunulika bana

Land Rover has slapped a sticker on its all-new 2012 Range Rover Evoque, and when sales begin this fall, $43,995 (not including destination) will get you behind the wheel of LR's smallest, most efficient 'ute.

In the run-up to launch, LR made a fuss about the amount of lightweight materials used on the Evoque, ranging from Boron steel in the chassis to composite fenders, a magnesium cross beam and aluminum roof, hood and suspension bits. In addition to utilizing recycled plastic material inside, all that weight-saving tech adds up to a curb weight of 3,680 pounds and – more importantly – a rather commendable 19 miles per gallon in the city and 28 mpg on the highway; sure to help the automakers CAFE standings here in the States. Full details in the press release below the fold.
 
Hahaha mpaka kieleweke wanasema! :p

Tunataka tupewe habari zilizotimia sio tunambiwa wali criticize bila ya kupewa walisema nini

@Mani
Mie nasubiri maelezo yanayohusu mazingira kwanza

Nilimsoma nikaona critic mwenyewe mzushi, analeta ushairi katika engineering.

Wiki chache baadaye akajirudi, anafanya review ya reviews zake zote za mwaka akasema katika reviews alizofanya unfair criticism hii ni mojawapo.

Huyu hapa

2012 Range Rover Evoque Five-Door Review: A Range Rover for a Smaller Era | Rumble Seat by Dan Neil - WSJ.com

Halafu alipojirudi hapa

http://online.wsj.com/article/SB10001424052970204553904577102842167917740.html
 
This thing is 2.0 ? Nilisoma review yake a few weeks back kwenye WSJ walili diss kwanza, halafu wakajirudi kusema that was just being over critical.

Naona hii imetengenezwa na light weight materials ndio kuifanya iwe na engine ya 2.0 turbo charged, tofauti na rivals kina BMW X3, Audi Q7 na VW Toureg.
 
Unaweza kuwapiga wadau guilt trip tupu katika ndoto zao za kumiliki S-Class ya 5.5.

Ila nimependa sana Range Rover walivyoifanya 2.0, yaani unaendesha halafu unakutana na tree hugger mmoja anaanza ku preach unamwambia kimkebe chako kinaunguza wese kuliko dude langu.

Kwa safari hizi za mijini kwenye nchi zenye mikeka hizo 5.5 kuchoma hela na kuharibu mazingira tu.

Oops, nishaanza ku preach.

Hahaha hufai wewe. Unaulizwa Alif unajibu Bee :lol:
 
Hahaha hufai wewe. Unaulizwa Alif unajibu Bee :lol:

Kumbe swali hivyo? Wengine tushazoea mpaka tuone alama ya kuuliza.

Ila nishaweka mpaka sources unaweza kusoma nilichosoma, usitegemee tafsiri yangu tu.
 
Nilimsoma nikaona critic mwenyewe mzushi, analeta ushairi katika engineering.

Wiki chache baadaye akajirudi, anafanya review ya reviews zake zote za mwaka akasema katika reviews alizofanya unfair criticism hii ni mojawapo.

Huyu hapa

2012 Range Rover Evoque Five-Door Review: A Range Rover for a Smaller Era | Rumble Seat by Dan Neil - WSJ.com

Halafu alipojirudi hapa

http://online.wsj.com/article/SB10001424052970204553904577102842167917740.html

Ungetupatia hizi links tokea mwanzo, sasa hivi suala la Mani iwapo tunataka "kuagiza" lingekuwa lishajibika kirahisi.
 
View attachment 45747 Picha kwa hisani ya mdau. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
afu ww jamaa unapenda kuiga iga thread eeh.....niliweka jana saa 11 na dak 4 wewe ukaamua kujaza server saa 11 na dakika 6...wabongo bana....kwanza na picha hujasema mdau gani kakupa.....umekwiba...sema source ya picha yo yo wa jf na taja na thread yake....ala
 
Ungetupatia hizi links tokea mwanzo, sasa hivi suala la Mani iwapo tunataka "kuagiza" lingekuwa lishajibika kirahisi.

Waagizaji na watafutaji hawamsubiri Kiranga. Mbona mambo yapo wazi tu.

Mie Kiranga, si Kiranja.
 
Kumbe swali hivyo? Wengine tushazoea mpaka tuone alama ya kuuliza.

Ila nishaweka mpaka sources unaweza kusoma nilichosoma, usitegemee tafsiri yangu tu.

Watu tunazungumzia Range Rover wewe unataka kuwapeleka guilt trip wanaotaka kupanda Mercedes!
 
Evoque......na kununua UWAZI?

attachment.php

Ha..ha..ha Getty Images wakimuona huyu aliyepiga hii picha wanaweza kumpa shavu,amepiga kweli picha na kuchukua vitu muhimu.
 
Waagizaji na watafutaji hawamsubiri Kiranga. Mbona mambo yapo wazi tu.

Mie Kiranga, si Kiranja.

mkuu una sanaa wewe, eti mpaka uone alama ya kuuliza.. ha ha haaa. Btw
Siku mkikutana na gaijin naomba niwepo.
Ila msimsahau IGWE.
Sijui itakuwaje siku hiyo.
 
Waagizaji na watafutaji hawamsubiri Kiranga. Mbona mambo yapo wazi tu.

Mie Kiranga, si Kiranja.

Inawezekana ukawa umekuja na info. ambazo waagizaji hawakuwa nazo awali. Kutueleza kilichosemwa na huyo critic kinaweza kutusogeza hatua moja mbele.

Wewe ni Kiranga, lakini kule H1N1 akishinda tunakubatiza uKiranja
 
H1N1 kapatiwa chanjo, anatafuta njia ya ku mutate basi tabu tupu. Angalia tusi digress sasa.
 
H1N1 kapatiwa chanjo, anatafuta njia ya ku mutate basi tabu tupu. Angalia tusi digress sasa.

Ngoja nisepe, manake Tiger keshaanza kuomba kadi ya mwaliko! Naye sijui ataparamia wapi kutafuta picha ya kupeana mikoni! :lol:
 
Ningependa kujua bei yake bandugu, kwa pesa za madafu. Nadhani nikisaini mkataba mmoja feki naweza kuvuta nikawa nami napaki Sisiem

Ni milioni kama 77 tu hivi bila ya ushuru wa forodha na usafirishaji
 
Back
Top Bottom