Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
samahani ndugu, nilikuwa sijui, kumbe wewe ni atheist, kama sivyo basi uelewa wako utakuwa ni mdogo sana, kwa hiyo tatizo lako ww liko hapo, kumbe unapost hapa vitu usivyo na uelewa navyo. Siku zote jitahidi kupost tu yale unayoyajua na kuyaamini, leo nishie hapo hapo
mzee chrismas na pasaka havina tofauti na halloween ! ni uongo mtupu ! mbona kwenye Biblia imeandikwa Yesu alisheherekea iku ya kutia mikate chachu (pasaka) wakati hajasulubiwa ?! Mti wa chrismas una uhusiano gani na kuzaliwa Yesu ?