wabongo mpunguze unene

Awapi,yani konda akiniona kituon anafirahi coz nalipiaga siti ya abiria 3,hahahha,imajin nimezunguka na bsi nauli mara mbilia weeee!lzm konda anipakie hahaha!
BADILI TABIA Rejao wangu hapendi vimbau mbau kitu super banco hahaha hahah!

Cantalisia hahahahhaaaa Rejao anakulaghai, anaogopa ukiwa potable ataibiwa, shauri yako....
 
Last edited by a moderator:
badADILI TABIA usiwaone wivu wenye miili yao,kama wewe ni kimbaumbau kama betina ujue wewe ni mwongoni mwa watu wanao jipiganji hadi mwili,huo ni ubaili au malazi ya upungufu wa kinga mwilini.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah hahha,Mme wangu wala hanilaghai bana utinginya wangu ndio ugonjwa wake!
Siwezi kuibia coz password za kule mahala anazo yeye,hakuna mwenye access isipokuwa yeye na azke nnazo mie raha jeee!

hivi unajua Rejao ana password ngapi? Shaurilo
 
Last edited by a moderator:
badADILI TABIA usiwaone wivu wenye miili yao,kama wewe ni kimbaumbau kama betina ujue wewe ni mwongoni mwa watu wanao jipiganji hadi mwili,huo ni ubaili au malazi ya upungufu wa kinga mwilini.

subiri utakapoanza kupumua juu juu kama chura ndo utajua kama manyama uzembe yanalipa au vipi
 
Last edited by a moderator:
subiri utakapoanza kupumua juu juu kama chura ndo utajua kama manyama uzembe yanalipa au vipi

he!he!he!....dah! We mtoto mbona huna adabu, sikiliza BADILI TABIA kama unaumwa pole sana sikuizi vinatafuna hadi mifupa maana nimekuona leo asuhuh,do unatia huruma
 
Last edited by a moderator:
unakuta mtu dukani dakika mbili kutoka nyumbani kwake basi anachukua gari badala ya kutembea, wakiwa maofsini akitaka kwenda ghorofa ya pili kutoka ya kwanza anasubiri dakika 5 lift ije wakati angeweza kupanda ngazi. Mafuta mengi mwilini yanaleta magonjwa mengi hasa ukubwani. Tuache uvivu.
 
Back
Top Bottom