Wabongo mnawapa sifa za kijinga simba..

arifu sina hizo mie.....ila nawaambieni hamtafika popote kama hawatadfanya mazoezi kwa bidiii na kuzingatia chakula bora....

hivi hao simba ni mpira gani waliocheza jana??? narudia mie sio shabiki wa vilabu vya bongo kamweee.....sishabikii upuuzi wa kariakoo mie
mpira magoli chenga mbwembwe!!!!
 
msiizarau point ay YOYO bongo ni kichwa cha mwendawazimu hakuna haja ya kuwasifia sana
 
arifu sina hizo mie.....ila nawaambieni hamtafika popote kama hawatadfanya mazoezi kwa bidiii na kuzingatia chakula bora....

hivi hao simba ni mpira gani waliocheza jana??? narudia mie sio shabiki wa vilabu vya bongo kamweee.....sishabikii upuuzi wa kariakoo mie

Acha uongo wewe. Ungekuwa hushabikii unge comment. Wasioshabikia timu za bongo wako kimyaaaa. Wanaendelea kushabikia timu za wenzao.
 
Back
Top Bottom