Wabongo kutotumia akili

Nadhani huelewi hapa. Mtanzania yeyote yule ana haki ya kwenda na kuishi popote pale duniani. Na maamuzi binafsi ninayoyazungumzia mimi
ni "personal decisions" kwa kimombo. Ubinafsi unaouzungumiza wewe ni "self-serving selfishness".

Sasa hao mafisadi wako kwenye hilo kundi la pili la "self-serving selfishness". Kufanya maamuzi binafsi kama wapi uishi, nani umwoe, usomee nini chuoni ni tofauti na kuhujumu kilicho cha wote. Hao mafisadi wamepewa ridhaa na wananchi kulinda na kutetea maslahi ya wote lakini badala yake wameishia kuwa self-serving selfish bastards. Huwezi kabisa kuwalinganisha hao na watu wanaomua kufanya kazi flani kujipatia riziki yao kihalali hata kama ni kubeba zege. Hawalingani kabisa. Panga upya hoja yako au i drop kabisa maana utakuwa annihilated bure.

Uamuzi wa mtu ni uamuzi wa mtu na maoni yako wewe juu ya uamuzi wake ni kwa mujibu wa mtazamo wako. Lakini mwisho wa siku binadamu tuna uhuru na haki ya kufanya maamuzi binafsi (make personal decisions).

there are no laws without EXCEPTIONS,remember?
so,ishu ya wewe kuwa huru dunia nzima haimaanishi kwamba you can ABUSE YOUR PROFESSION JUST LIKE THAT!na pia haimaanishi kwamba you can forget your society who grew you up JUST LIKE THAT!........in a very very long run hauutendei haki uzao wako!got that?
 
there are no laws without EXCEPTIONS,remember?

Does that include this law? If it does, then this will revolve into a fallacy, because the exception to this law will be "There are laws with no exceptions"

If it does not, then the original assertion that "There are no laws with no exception" will not be true.
 
there are no laws without EXCEPTIONS,remember?

Laws? How is this germane to the argument you are making?

so,ishu ya wewe kuwa huru dunia nzima haimaanishi kwamba you can ABUSE YOUR PROFESSION JUST LIKE THAT!

Utanifanya nini sasa kama nimesomea uhandisi na nauza duka? Utanifunga? Usitake kupangia watu maisha yao na nini cha kufanya kwenye maisha yao. Hakuna abuse yoyote katika maamuzi watu wanayofanya kuhusiana na maisha yao na career zao ili mradi tu hawavunji sheria.

na pia haimaanishi kwamba you can forget your society who grew you up JUST LIKE THAT!........in a very very long run hauutendei haki uzao wako!got that?

Hivi mara ya mwisho wewe kuangalia takwimu za mchango wa kiuchumi wanaotoa watu walioko ughaibuni ilikuwa lini? Au hujawahi hata kuzitia machoni?

Kuna watu wanasomesha ndugu zao. Kuna watu wanasaidia familia zao. Wasingekuwa ughaibuni pengine wasingeweza kutoa misaada wanayotoa.

Sasa kati ya mtu aliyeko ughaibuni anayesaidia ndugu zake na fisadi aishiye Tanzania anayeifisadi nchi kisawasawa nani aliyeisahau na kuitelekeza jamii yake? Kuishi ughaibuni hakuna maana kuwa umeitelekeza jamii yako au umesahau ulikotoka. Ni fikra za kikorosho hizo.
 
Does that include this law? If it does, then this will revolve into a fallacy, because the exception to this law will be "There are laws with no exceptions"

If it does not, then the original assertion that "There are no laws with no exception" will not be true.

Dude, that's too cerebral for some....
 
Does that include this law?

a right TO LIVE ANYWHERE,DO ANYTHING!
mzazi wako anapokupeleka shule ni kama ana invest vile.hategemei baada ya kumaliza masterz yako ya international relations USUKUME MKOKOTENI,AU UWE UNAFAGIA SUPERMARKET....just because ni HAKI YAKO KUFANYA UNALOAMINI!no way!

the same applies to your communities,hadi nchi uliyozaliwa!well ,i mean pro-lata
 
Ni wangapi walioko ughaibuni wanaofadhiliwa na wazazi wao? Hao wazazi wanaoweza kumudu gharama za room, board, and tuition ndo hao mafisadi wanaoifilisi nchi.

Wengi walioko ughaibuni si watoto wa mafisadi na wengi wamejisomesha wenyewe aidha kwa kupiga boksi au kujitafutia scholarship.
 
unajua DUDE,
you are considering matters TOO SUPERFICIALLY!usiangalie HAPA KARIBU KWAMBA UNAJISOMESHA KWA BOKSI,AU scholarships.just go back right to the foundations of your successes......!

-rudi nyuma ukumbuke kuna watu walikuazima bank-statements
-rudi nyuma kuna watu walikufundisha ''hata kusema A''
-rudi nyuma kuna watu wamekupa vitu ambavyo ni basics vika pave ways to your successes

THESE ARE THE MAKINGS OF YOUR SUCCESSES!hii biashara ya kujiangalia ki-ubinafsi binafsi sijui mnaitoa wapi wasomi ninyi
 
unajua DUDE,
you are considering matters TOO SUPERFICIALLY!usiangalie HAPA KARIBU KWAMBA UNAJISOMESHA KWA BOKSI,AU scholarships.just go back right to the foundations of your successes......!

Superficial....do you know what that means?

-rudi nyuma ukumbuke kuna watu walikuazima bank-statements

Not I.

-rudi nyuma kuna watu walikufundisha ''hata kusema A''

Kwa hiyo?

-rudi nyuma kuna watu wamekupa vitu ambavyo ni basics vika pave ways to your successes

Ni kweli na hawa ni kuanzia mfanyakazi aliyenibadilishia nepi na kunipikia uji wa ukwaju hadi ma profesa wazungu chuoni.

THESE ARE THE MAKINGS OF YOUR SUCCESSES!hii biashara ya kujiangalia ki-ubinafsi binafsi sijui mnaitoa wapi wasomi ninyi

Yaani ndugu hata hueleweki kabisa. kama una jazba basi jaribu angalau kuvuta pumzi kidogo ili akili yako itulie.
 
Superficial....do you know what that means?

Not I.

Kwa hiyo?

Ni kweli na hawa ni kuanzia mfanyakazi aliyenibadilishia nepi na kunipikia uji wa ukwaju hadi ma profesa wazungu chuoni.

Yaani ndugu hata hueleweki kabisa. kama una jazba basi jaribu angalau kuvuta pumzi kidogo ili akili yako itulie.

jioni njema basi dude!
life goes on!
kuna tetesi za ajali mbaya sana imemkuta msanii wa nyimbo za injili na inasadikika AMEFARIKI!nipe muda nilifuatilie hili
 
Una maana gani ukisema tumia akili au watu hawatumii akili?.....Toa mifano..
 
Wakulu Julius na Blueray heshima mbele.

Nafikiri mkuu YoYo hajaweka wazi kuhusu hio kero yake kulingana na matakwa ya sehemu ya Kero Yangu inavyohitaji.

Kwa hio thread yake haijitoshelezi kwa kuzingatia kwamba imeelezwa kuwa yoyote mwenye kero aeleze kwa mapana kuhusu kero yake ili ifanyiwe kazi na taasisi ama mamlaka husika.

Halafu mkulu Geoff nae ameingia bila tahadhari na kauli zake ambazo kwa kweli ni "baseless".

Mkulu Geoff nafahamu kuwa wewe ni mmoja wa wale wachache wenye uwezo wa kuwa online kwa masaa kadhaa bila taabu. Sasa mkuu hapo Dar unajishughulisha na nini kuendeleza nchi?
 
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!

Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....

...mazoea yanapogeuzwa 'sheria'...

Mtogole.jpg

A+Case+of+living+dangeroulsy.JPG

jamaa+anakojoa+ferry+Dar+es+Salaam.JPG

uchafu.JPG

...halafu inalaumiwa serikali!...
 
...mazoea yanapogeuzwa 'sheria'...

Mtogole.jpg

A+Case+of+living+dangeroulsy.JPG

jamaa+anakojoa+ferry+Dar+es+Salaam.JPG

uchafu.JPG

...halafu inalaumiwa serikali!...
Haya sasa watu wakiwasema Watanzania wengine wanarusha ngumi humu ndani, mara oh wabeba box, oh hawafanyi walichosomea. Haya ni mawazo ya kizamani kabisa. Mtu ana gari hata kubadilisha tyre hajui, una nyumba huwezi hata kupaka rangi, mambo ya kung'ang'ana oh mimi nimesoma kitu flani, wenzetu wanapiga kila kitu-hata box wanabeba na wanasonga mbele.
 
Mtake msitake, sisi watanzania tumezidi ujinga.
Watu wako baa kila siku, si maofisa wa wizara hadi wahuni wa mtaani.
Ufanisi utatoka wapi na huu upuuzi, na chakuchekesha ni kwamba watu wanadhani ni sawa kuishi kama bongolala, yaani ni poa tu....f..k this!
 
Ebana umecheki hizo picha hapo juu? Umeona jinsi watu walivyozungukwa na uchafu? Sasa nambie ni mtu gani mwenye akili ataishi na uchafu uliokithiri hivyo bila kufanya lolote?

Kuna moja hapo kuna njemba inakojoa kwenye maji halafu kuna jamaa kainama sijui kaangusha kitu kwenye hayo maji? Halafu tunajidai eti sisi ni ma genius? Lol
 
Alafu cha kushangaza watu wanabaki kulaumu serikali badala ya kuchukua jembe na kuchimba mitaro kujiondolea karaa na baadae chagua viongozi wanaofaa..
 
Back
Top Bottom