Wabongo 5 na Muiran 1 Wakamatwa na Heroin

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Kuna Watanzania watano na Muiran mmoja wamekamatwa mkoani Tanga, maeneo ya kabuku na Kilo zisizo pungua tisini na tano (95kg), wenye data zaidi watufahamishe tafadhali.
 
Naona tusubiri wenye data kamili na kama ni kilo 95 basi huo mzigo babu kubwa.
 
Tatizo ni kwamba baadhi ya vijana wa Bongo wanadhani maisha unaweza kuyapatia kwa short cut namna hiyo, Mheshimiwa kashindwa kutengeneza ajira kama alivyoahidi badala yake kaja na kilimo kwanza, sasa vijana kama hawa badala ya kuhangaika na mihadarati si wangebeba jembe wakalime tu kumuunga mkono bwana mkubwa.
 
Mkuu usilete utani,Kilimo kwanza? wakati unaambiwa watu huko Rukwa wanaozewa na nafaka katika maghala yao kisa, hawaruhusiwi kuuza nje na ndani mazao yao hayana mnunuzi. Zile zilikuwa ngonjera tuu na vijana hawawezi kwenda huko. Kwa sera hizi biashara hii na ujambazi na yote yasiyofaa tutegemee kuyasikia sana kadiri siku zinavyokwenda
 
Tatizo ni kwamba baadhi ya vijana wa Bongo wanadhani maisha unaweza kuyapatia kwa short cut namna hiyo, Mheshimiwa kashindwa kutengeneza ajira kama alivyoahidi badala yake kaja na kilimo kwanza, sasa vijana kama hawa badala ya kuhangaika na mihadarati si wangebeba jembe wakalime tu kumuunga mkono bwana mkubwa.

Ajali kazini ila wangefanikiwa kuupitisha huo mzigo!
Mbona jamaa wangetoka kwa short kati ila najiuliza walishindwa 'kuongea' vizuri na hao askari wa kibongo? au walikuwa na mkono wa birika!!
kwani askari wetu ukiwapanga tu aaa! mabo yanakuwa shwari.
 
Mi nafikiria Askali watakuwa wamefanya jambo jema sana, maana huo unga (Heroin) ungeingia mitaani ungechangia sana kuharibi afya na siha za vijana...!
Ongera sana jeshi la polisi.
 
Inaonekana huwatakii watoto wetu mema wala nchi hii. Shame
 
Mi nafikiria Askali watakuwa wamefanya jambo jema sana, maana huo unga (Heroin) ungeingia mitaani ungechangia sana kuharibi afya na siha za vijana...!
Ongera sana jeshi la polisi.

Ni kweli kwa hili askari wanastahili pongezi maana kilo 95 za heroin kuingia mitaani ni hatari mno kwa maisha ya vijana wetu. Ongezeko la mazezeta na vijana wasiokuwa na nguvu za kufanyakazi lingeongezeka mno na ujambazi tu maana vijana wabungia unga hawana plan za kujifanyia kazi zao za halali kujipatia kipato.
 
Kuna Watanzania watano na Muiran mmoja wamekamatwa mkoani Tanga, maeneo ya kabuku na Kilo zisizo pungua tisini na tano (95kg), wenye data zaidi watufahamishe tafadhali.

Huyo Mu-Iran alikuwa anafanya nini pale Kabuku?

Mimi ninacho fahamu, watu wa pale Kabuku, Kwedukwazu, Mzundu ni wachimba madini, sasa Muiran kuingia ndani namna hiyo, kuna la zaidi!
 
Kumbe Wa-Iran wana bwia!!

Halafu kwanini hii biashara inachangamkiwa sana na waislamu? Kuna nini hasa? Angalia list ya drug dealers Bongo ni waislamu watupu? Mhhh!
 
95 Kg ni gunia kasoro 5Kg.Una maana 95 gm?

Una maana kuwa "densiti" yake ni sawa na unga wa mahindi hadi ufananishe na gunia?. Kilo 95 inaweza kuwa nusu gunia au magunia kadhaa. Vipi mkuu utaalamu wako juu ya hiki kitu?
 
Back
Top Bottom