Wabeba maboksi crew

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Nimeona Kang ameanzisha mada ya kuzungumzia mambo ya programming hapa: https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/33905-programming-crew.html .

Halafu Nguli akatuua wabeba maboksi wote na kusifia mtu fulani hapa: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/41593-kevin-twisa.html .

Sasa kwani nini nasi tusijivunie kazi yetu inayopeleka chakula mezani?

Maboksi ndio yenyewe. Hauhitaji usome ma-C++++ kama Kang, ufoji vyeti kama mawaziri na wabunge fulani fulani, uwe mtaalam wa kumnadi Edward kama Rev, uwe unateremka yai kama dvd-ya-kisasa, au uwe mtaalam wa kutengeneza extreme kama Twisa.

Unachohitaji ni sifa nne tu:

quemu-albums-funny-pictures-picture739-job1.bmp

Hiyo "validate selection test" wala isiwazingue. hiyo maana yake uweze kubeba lumbesa lisilopungua pound 110 (kilo 50).

Nyie haters wala vumbi, hebu chekini ma-warehouse ya nguvu tunayochakarika nayo. Dude limetulia kuliko hata hako kaji-mlimani city kenu.
quemu-albums-funny-pictures-picture737-home-depot.jpg

Halafu sasa humu ni mambao na maboksi tu kwenda mbele.

quemu-albums-funny-pictures-picture736-warehouse1.jpg

Duh lakini si utani, ukiangalia humo huoni hata mwisho. Lakini poa tu mboni maboksi yanachezeka mdundiko ndani ya masaa 2 tu. Hebu ngoja niyafungie ukwaju kwanza (kuvaa jeans ambayo ina kiuno kikubwa zaidi yako, halafu unafungia mkanda tight. Matokeo yake kuna lile nundu linatokea nyuma)
 
pound 50 (kilo 110).

Pound 50 ni kilo 110? We mbeba boksi kweli au unatuzuga tu? Au ndiyo unajaribu kutuambia shule umekimbia na hivyo ni mbeba box halisi?

Ninavyojua mimi 1 pound = 0.45359237 kilograms
kwa hiyo 50 pounds ni 22.6796185 kilograms.
 
Jamaa anawatisha wala vumbi wasiwe na tamaa ya kuja ughaibuni, wakifikiria lumbesa 110kg hapo lazima afe mtu.
 
Pound 50 ni kilo 110? We mbeba boksi kweli au unatuzuga tu? Au ndiyo unajaribu kutuambia shule umekimbia na hivyo ni mbeba box halisi?

Ninavyojua mimi 1 pound = 0.45359237 kilograms
kwa hiyo 50 pounds ni 22.6796185 kilograms.

Hiyo ya pili "shule umekimbia na hivyo ni mbeba box halisi"

Niligeuza bana - pound 110 ( Kilo 50).
 
Pound 50 ni kilo 110? We mbeba boksi kweli au unatuzuga tu? Au ndiyo unajaribu kutuambia shule umekimbia na hivyo ni mbeba box halisi?

Ninavyojua mimi 1 pound = 0.45359237 kilograms
kwa hiyo 50 pounds ni 22.6796185 kilograms.
Mzee hapa umemquote vibaya huyu jamaa,mi najua jamaa alichosema ni pound 110 ni sawa na kilo 50 which is right,jaribu kusoma tena hiyo thread yake na uone hiyo quotation yako umeitoa wapi,he is absolutely right!!
 
sio huku tu uk mambo ya maboksi hata hapa kwa mandela mabox yanalipa!!!!!mabox yaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ninaye rakifi yangu mmoja anaitwa Macd anasema kwamba mabox yanalipa kishenzi inafuatiwa na kazi ya security,tusizarau kazi za watu!!!!
 
Back
Top Bottom