Wabeba boksi wa marekani hongereni

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
[h=2]KATIKA SHOW YA DIAMONDS ARE FOREVER
Huyu demu katoka Marekani,uwiiii tulimkomaje sasa??[/h][h=2]alimwagaje madolaaaa!!![/h]
 
Attachments

  • demu.JPG
    demu.JPG
    16 KB · Views: 370
She made it rain on y'all huh?

Wait till the duffel bag boys roll into town. We gon' shut the city down.
 
she made it rain on y'all huh?

Wait till the duffel bag boys roll into town. We gon' shut the city down.
wapi nyani ngabu??
Wapi rich mziray
wapi muddy washington
mbona sikuwaona
 
haya bwana wahi basi kibaruani hapo port of miami

Everyday i'm hustlin.....everyday i'm hustlin
I'm in the distribution, I'm like Atlantic

I got them mother****ers flyin' 'cross the Atlantic

I know Pablo, Noriega, the real Noriega
 
Everyday i'm hustlin.....everyday i'm hustlin
I'm in the distribution, I'm like Atlantic

I got them mother****ers flyin' 'cross the Atlantic

I know Pablo, Noriega, the real Noriega
haya bwana angalia hilo box lisiwe limetoka kwa akina larry hoover au big meach tukakupoteza hapa jf
 
Inaonekana unatamani sana kuwa mbeba mabox, nipm nikusaidie kutimiza ndoto zako, maana pretending itakutesa sana.
port of dar es salaam inanitosha kwani accoording na cheo changu inanipa warembo wa kutosha wa makampuni ya clearing and forwarding na TRA
 
Kuna wabeba maboksi wanne wanadondoka hapo mjini mwezi ujao kuja kunyuka watu fimbo za macho. Be on the lookout.
Am too old for this......i can only be inspired na watu kama Bakhresa ambao hawakwenda shule lakini wamemudu kuendesha biashara kubwa kwa mafanikio.
 
Umesharudi kutoka US!!.........au ulikuwa unamaanisha USA River?
Ukiwa muongo jitahidi usiwe msahaulifu.

si unajua hii account yangu natumia na wifi a.k.a wife ambae anagonga zake ka bachelor pale maryland
 
Atakuwa kapata dola kwa kuwatawaza vibabu vinavyo jinyea ovyo msikurupe kwenda kubeba box wengine wanabeba vinyesi vya wazungu.
 
Atakuwa kapata dola kwa kuwatawaza vibabu vinavyo jinyea ovyo msikurupe kwenda kubeba box wengine wanabeba vinyesi vya wazungu.

waambie mkuu us sio kama wanavyofikiri wengi tu wanapigika .
 
Back
Top Bottom