Wababa wengine bwana

Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
414
210
Hujambo xxx, ninayo namba yako ya simu mda mrefu lakini kila nikitaka kipiga nasita. mimi ni YYYY' hii message imetoka kwa mme wa jirani yangu ambaye familia yangu na yake zinaheshimiana sana na ni marafiki wakubwa.

Sasa hii message aliyonitumia imenichanganya, najiuliza maswali mengi, je ana nia gani?

Mimi bado sijaijibu lakini nawaza je inawezekana hana nia mbaya?

Wana Jamiiforums naomba msaada wa mawazo.
 
Mrembo

Wee Mrembo, sasa maneno yote hayo ya jirani yako yatokapi? Kwani huwa hamsalimiani au kutembeleana kama majirani? 'ooh ninayo simu yako muda mrefu...'. yote ya nini hayo. Ukiona mtu anaanza kujiumauma ujue kuna jambo, kaa vizuri na anza kuandaaa majibu yatoyofuata. Bye!
 
Last edited by a moderator:

ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.
 
Huyo ni kumpa jibu ambalo unaona linamstahili, ukimchelewesha waweza kujikuta umeingia katika eneo ambalo kujitoa inkuwa ni ngumu. kumkamata kuku huwa inaanza na maandi machache, ndipo yankuja mengi kuelekea kwenye mtego, hayo ni mahindi ya mwanzoni. mpe jibu unalo zani litamfaa, bila ya kuangalia itkuwaje. cha muhimu ni kuangalia maslahi yako kwanza, baada ya hapo kunakuombana msamaha kama utaonekana umekosea
 
dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe
 
Du jamani jamani angalieni msimpotezee MREMBO ndege wake, hamjanua msimamo wake labda na yeye kamzaimia.

Mbona hiyo issue ndogo tu? du kila mkipata sms mkikimbilia ushauri du hapa patajaa sana. Ni mawazo yangu tu, maana mimi huwa napata sms za kutongozwa na wanawake karibu 3 times a week. amini usiamini
 
'hujambo xxx. ninayo simu yako mda mrefu lakini kila nikitaka kipiga nasita. mimi ni YYYY' hii message imetoka kwa mme wa jirani yangu ambaye familia yangu na yake zinaheshimiana sana na ni marafiki wakubwa. Sasa hii message aliyonitumia imenichanganya. najiuliza maswali mengi, je ana nia gani?? mimi bado sijaijibu lakini nawaza je inawezekana hana nia mbaya?
Wana JF naomba msaada wa mawazo.

...yawezekana pia ikawa ni mke wa jirani kwa simu ya mumewe, anakupima uaminifu wako, mjibu '...zis is wrong namba', au ...'ze namba iz not richabo' :D.
 
ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.
asante kwa ushauri.
ivi, nikiamua kunyamaza itakuwaje? si anaweza kuelewa kuwa am not interested, au nyie mnaionaje hii. Je nimueleze mume wangu?

huyu baba ni mtu mzima kidogo, yani anapishana umri kidogo tu na baba yangu.
 
Du jamani jamani angalieni msimpotezee MREMBO ndege wake, hamjanua msimamo wake labda na yeye kamzaimia.

Mbona hiyo issue ndogo tu? du kila mkipata sms mkikimbilia ushauri du hapa patajaa sana. Ni mawazo yangu tu, maana mimi huwa napata sms za kutongozwa na wanawake karibu 3 times a week. amini usiamini
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia
 
Endelea kuheshimu ndoa yako ndugu yangu. Huyo ni shetani anataka kucheza na wewe kisha akuache juani. Jirani ni sawa na ndugu. Usiharibu uhusiano wenu mzuri wa ujirani kwa fedheha. Hata kama utashawishika kwenda nje, basi sio kwa jirani. Siku vikijulikana utaona dunia chungu. Hakuna atakayekuamini tena! Kuanzia mume hadi majirani.
 
ndio maana nikaja hapa, maana najiuliza nimjibu au nijikaushe tu, na je nikiamua kumjibu, nitamjibu nini? maana anaweza akasema yeye alikuwa ananisalimia tu.

Mmeo akisafiri (kama huwa anasafiri) mkaribishe nyumbani ukiwa peke yako naye aje peke yake halafu mwambie umeshakubali. Unadhani itasimama?
 
ha! sasa hapo hata kama hakuwa na nia mbaya si atafikiria mi ndio namtaka? Maana experiment inaweza ikakurudi wewe mwenyewe. akimwambia mke wake nimemseduce itakuwa patashika lol!
 
Hiyo ni ishu ya kumalizana kiutu uzima. Macho hayana pazia. Wakati mwingine pia yakiona ma hisia hujengeka kwa hiyo mrembo wewe ni kumwelewesha huyo jamaa na kumpa msimamo wako. Tena wewe ndio ujue kuwa ni mzuri kwa sababu jamaa mpaka kufikia hatua hiyo alishindwa kuvumila. Bora kakueleza ukweli kuliko angekubaka au unasemaje?
 
dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe
Naam... wazo limetulia!
 
dalili ya mvua hiyo .. mjibu tu .. kumbe hii ni namba yako basi nashukuru kwani umempunguzia mume wangu kazi kwani jana tu alizungumzia kukufuata ili akuombe namba yako .. basi nitampatia hii message aisome kabisa .. ubarikiwe

Nimeipenda hii.
 
Wala sina time naye, naheshimu sna ndoa yangu, na pia nahemuheshimu sana mke wake. yeye pia nilimuheshimu sana, ila amejiaharibia

to mrembo
punguza ukali,huyu kama alitumia technique ya msg basi ni muoga au yawezekana ni mkewe alitaka jua kama kuna nini nyuma ya pazia kati yako na mumewe.sie wajukuu wa mzee msolopa tunaruka hewani,na lazima ukamatike tu
my take
usijibu hiyo msg then sikiliza uone nini kitafuata
 
Mrembo
Niliwahi kumsikia nyanya yangu zamani...! Aliwahi kunambia kuwa:

"...Mwanamke akitakiwa/kutongozwa na mwanamme anayempenda, hamuhadithii mtu yoyote, huyaweka yote moyoni mwake. Lakini akitakiwa/kutongozwa na hasiye mpenda hatamwadithia kila mtu..."

Ongea na mumeo, yeye ndiye mshauri na msiri wako nambari one... Na si JF! (Naingiwa na mashaka... Na kujiuliza.... Kulikoniii!!?)
 
Last edited by a moderator:
to mrembo
punguza ukali,huyu kama alitumia technique ya msg basi ni muoga au yawezekana ni mkewe alitaka jua kama kuna nini nyuma ya pazia kati yako na mumewe.sie wajukuu wa mzee msolopa tunaruka hewani,na lazima ukamatike tu
my take
usijibu hiyo msg then sikiliza uone nini kitafuata

kabisaaa,,,,, bora asikilizie
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom